Kwa gesi asilia tuliyonayo, Tanzania si ya kulalamikia mafuta

Tatizo serikali yenu mnawaza upigaji tu ,achana na ya magufuli nchi mnayo mikononi mwenu wekezeni sasa kwenye gesi.
 
Mtu wa hovyo sana yule kuwahi kutokea. Kifupi watu wa pwani........
 
Utajua Hujui πŸ˜€πŸ˜€πŸŒŸπŸΌ
Mimi nnakijuwa ni imoja tu, kuwa Watanzania tatizo letu na adui yetu mkubwa ni ujinga. Na wewe unadhihirisha hilo.

Umeshindwa kujibu hata moja la kwenye hoja unaanza "character assassination". Huo ni ujinga.
 
gas yenyewe imeshauzwa/imeshagawiwa, wachimbaji watauza hadi wapate pesa ya mitambo waliyokuja nayo ndio sisi tupate. hapo haijulikani ni lini, na ni wajinga pekee ndio watakaosema sasa tumerudisha mtaji tuanze kugawana faida. mgodi wa tulawaka kwamfano, walichimba dhahabu yote wakisema kwamba hawajarudisha faida, walipoona wamefaidika wakaondoka na kutuachia mgodi./mashimo.
 
Mimi nnakijuwa ni imoja tu, kuwa Watanzania tatizo letu na adui yetu mkubwa ni ujinga. Na wewe unadhihirisha hilo.

Umeshindwa kujibu hata moja la kwenye hoja unaanza "character assassination". Huo ni ujinga.
Mjinga ndio Kafir anayejiita Muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW!

Mimi Mgalatia πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯
 
Mjinga ndio Kafir anayejiita Muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW!

Mimi Mgalatia πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯

Kwa gesi asilia tuliyonayo, Tanzania si ya kulalamikia mafuta​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…