Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 438
Wakome!
Inawezekana vizuri tu mkuu. Ujenzi unakuwa gharama zinapungua sana kutokana na kukuwa Kwa Technology.. huwezi jua jamaa anatumia Tech ipiHebu angalia hapo chini gharama ya ujenzi Kenya ukilinganisha na jengo bei haiendani kabisa.
Huyu ni injinia wa majengo lakini bei yake rahisi sana.
Ghorofa hili eti anakujengea hadi finishing shilingi za Kenya million 70- 75 ukibadilisha kwa madafu 1.34 billions kweli inawezekana bongo kujenga ghorofa kama hili billion 1.3?
Ndio maana yanaporomoka.
View attachment 3524280
RRONDO Extrovert
adriz
Teknolijia wapi.!Inawezekana vizuri tu mkuu. Ujenzi unakuwa gharama zinapungua sana kutokana na kukuwa Kwa Technology.. huwezi jua jamaa anatumia Tech ipi
Mkuu ulikuwepo ?Teknolijia wapi.!
Mainjinia kama hawa ndio wanao endeleza biashara ya utumwa kwa waafrika
Kazi yote hiyo inafanywa na cheap labour hakuna lolote pumbavu
Haiwezekani. Acha kujitia moyo, ukiona imewezekana ujue mnakaribisha vifo na uharibifu.Inawezekana vizuri tu mkuu. Ujenzi unakuwa gharama zinapungua sana kutokana na kukuwa Kwa Technology.. huwezi jua jamaa anatumia Tech ipi
Mie simpingi Kwa hisia, na sijui anatumia nini kufanya hivyo . Labda material anazalisha yeye na kugawa bure Kwa client wake ?Haiwezekani. Acha kujitia moyo, ukiona imewezekana ujue mnakaribisha vifo na uharibifu.
Hilo jengo hata uwe wewe ndio architect, mwanao civil engineer na ukoo wako mafundi mchundo labour cost ni bure ukijenga kwa standards za kawaida hiyo bajeti haitoshi.