Kwa gharama yoyote wapi wanatibu kiziwi na bubu kuweza kusikia na kuzungumza?

Kwa gharama yoyote wapi wanatibu kiziwi na bubu kuweza kusikia na kuzungumza?

Kuhusu ububu mkuu nafkiri kihospitali sijawai kusikia mtu katibiwa na kupona. Na pia sijui kama hata cause yake inajulikana kitabibu. Kwasabbu unakuta mtu mwingine anatoa anatoa sauti Fulani lakini hazina maana. Nafkiri hata ugugumizi pia huwa kitabibu hauleweki sana. Au ngoja waje watalaam
Jibu rahisi ni kupitia katk maombezi nenda ktk makanisa yanayofanya maombezi atapona
Nenda hospital kubwa ulio karibu nayo omba kuonana na speech therapist. Kuna mmambo ya kuzingatia kwanza angalia uwezo wa kusikia, pili angalia place and manner of articulation such as young teeth and palate kwa kifupi inawezekana akaqa kachelewa Ku amili lugha au ana sound production problem
 
Back
Top Bottom