Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,692

Diamond akiwa na Wema na binamu yake aitwae Romeo

Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ‘ile inayoitwa’ movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, ‘Temptations’ haipo na kama unaingoja, utaingoja hadi miguu iingie tumboni. Hakuna movie.
Diamond na Wema Sepetu walikuwa wakila bata na kufurahia kama wapenzi wengine wanaopendana kwa dhati. Kwa kuangalia picha tu, ni rahisi mno kujua penzi zito kati ya wawili hawa. Picha hizo ni ishara kuwa, Diamond na Wema hawajawahi kuachana na Diamond amekuwa akimcheat mpenzi wake Penny.
Wazungu wanasema, kama hujafanya utafiti hauna haki ya kuzungumza, hivyo ili kuonesha kuwa hizi si brabra tu, tumefanya utafiti kwanza.

Ukweli wa kwanza tulioubaini ni kuwa, Diamond na Wema Sepetu walikutana Hong Kong na sio Malaysia. Wema alienda huko takriban wiki tatu zilizopita na hivyo Diamond alimfuata baada ya kumaliza show yake ya Malaysia. Kwa mujibu wa msichana aitwaye Alice aliyeiambia Bongo5, Diamond alisafiri kutoka Kuala Lumpur, Malaysia kwenda Hong Kong kumfuata Wema kwa ndege ya kampuni ya Air Asia.
“Nilipanda na Diamond flight moja from KUL to HKG tena ilikua ni Air Asia X flight number 567 alipandia KUL-LCC Terminal nilimuona kwenye lounge direct nikashangaa anafanya nini huku na baada kufika HKG sijui hata alipotelea wapi kumbe haya yote ndo alikua akiyafuata hongera zao,” alisema Alice.
Huko, Diamond na Wema wamekaa wote kwenye hoteli moja na mpenzi wake Penny hakuwa anajua kuhusu hili hadi picha hizi zilipoanza kuenea na yeye ameshtuka kama walivyoshtuka wengine.
Haijajulikana picha hizo zimesambazwa na nani lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, kuna uwezekano kuwa picha hizo zimesambazwa na Wema wenyewe kwa kusudi la kumuumiza Penny. Kuna taarifa zimeifikia Bongo5 kuwa, Penny ameumizwa mno na picha hizo na amekuwa akilia siku nzima. Hata hivyo binafsi hatujaweza kuthibitisha taarifa hizo.
Jitihada za kumtafuta Penny azungumzie suala hili zimegonga mwamba kwakuwa simu yake haipokelewi.

Penny

Hivi karibu kwenye birthday ya Diamond, Penny alielezea kuwa uhusiano wake na Diamond ndio mgumu zaidi katika mahusiano yote aliyowahi kuwa nayo.
“Not the easiest relationship I’ve ever had..but its the most intresting! When I’m down, he would make me feel on top of the world, my bestfriend, my brother, my soulmate, my baby, my man. My strength, my joy, my love, Ohhh!!! What else do I gotta say? I love u, and its been a blessing to have met you, u taught me that love is just Me&You the rest shouldnt matter or make me loose my sleep, today I ask God to bless u a million more times, the sweetest boyfriend ever!!! Crazie too..unpredictable mind, through the ups and downs Im gona hold you down til God says so..you have taught me that love conquers all, that Love is pain, but the pain is worth the while..I love you baby,” aliandika Penny.
Miaka ya nyuma, Wema na Penny walikuwa marafiki wakubwa lakini kwa mujibu wao wenyewe, urafiki wao uliharibika hata kabla ya wote kufahamiana na Diamond.



Source Gumzo la jiji:




Ninachojiuliza mimi hivi ni kwamba vijana hawajajitambua?? na je swala la moving from one partner another, kwa mbwmbwe ni ustaa ama ndio ujana??
anyway sina nia mbaya ya kuajdili personal life ya mtu lkn nataka tu tujifunze kwamba we still have long way to go especially kwenye kuwafanya vijana wajitambue. Kukosea kupo sana lkn unapogundua kwamba umekosea simama ifute endelea na safari na usirudi tena kwenye utelezi uliokudondosha.
 
To hell maibilisi wakubwa zinaa tuu kucha kutwa na kuwamaliza walimwengu na dawa za kulevya, hawatasalimika
 
To hell maibilisi wakubwa zinaa tuu kucha kutwa na kuwamaliza walimwengu na dawa za kulevya, hawatasalimika

mkuu hayo mengine tuyaache kwanza lkn je hivi hawa vijana wawili ni kwamba wanapendana bado ama wanarushana roho tuu??

je hawaoni kwa tabia zao hizi wanaumiza wapenzi wao??
 
Maisha ya Ujana wa sasa nayafananisha na mkondo mkali unaoelekea shimoni!
Inahitajika nguvu za ZIADA kwa vijana ili kupingana na nguvu ya maji!!!!
...
But angalia! Mpiga ngumi ukutani huumia mkonoe!!
 
hao tunajua wanaambukizana ........,so far wote ni mapunda hawajielewi!!kumradhi. mapenzi ya diamond na wema sio role modal jaman and they dont deserve to be so ungetaja ya Jay Z na Beyonce you could have my support kwa sababu wote wanajitambua na kujiheshimu au hata unge taja mapenzi ya mkuu wa nyumba na mama salma kama Simplicity alivyo ka propose au ukishindwa kabisa taja ya Kyln na kibopa wake Mengi jinsi yalivyotimia
 
Diamond na Wema sijawahi kuyaelewa mapenzi yao hata siku moja........

vijana siku hizi hatujitambui....na huu mchezo wanaofanya diamond na wema ....mtaani yanafanyika hvyo hvyo sema wa mtaani hawaonekani kwa jamii yote mana siyo maarufu......

wazazi waombeeni vijana wenu......Mungu awasaidie waweze kujitambua....
 
mtaacha Penny azimie kwa mara nyingine tena lol
mapenzi sometimes yanawafanya watu waonekane wajinga,Penny alikuwa akipokea simu za Diamond wakati Wema akipiga,halafu anamchana live,wema akaumbuka,leo inatokea kafanikiwa tena.hehehehe
 
Maisha ya Ujana wa sasa nayafananisha na mkondo mkali unaoelekea shimoni!
Inahitajika nguvu za ZIADA kwa vijana ili kupingana na nguvu ya maji!!!!
...
But angalia! Mpiga ngumi ukutani huumia mkonoe!!

your signature justifies the truth
 

hivi inahitajika elimu ya aina gani ili mtu ajitambue??
 
mapenzi sometimes yanawafanya watu waonekane wajinga,Penny alikuwa akipokea simu za Diamond wakati Wema akipiga,halafu anamchana live,wema akaumbuka,leo inatokea kafanikiwa tena.hehehehe

what does this mean?? so ni kama wana tambiana sio??
kwa interest za nani? ama wanapata faida gani??
sioni future kwenye mapenzi ya aina hii, manake huyu penny hata leo akiachika itakua anapata wa kuosha nao sura ila material partner ni ngumu sana as ataonekana ni mtu wa hivyo hivyo. na sio yy tu ila kwa wao wote.

unajua mdogo wangu ni jambo baya mtu akikufanyia labeling hasa juu maisha yako......
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA!

I love this SAGA! Wote ni down to earth BIT.CHES!!!!!!!!!!! Kick a.ss mwanzo mwisho! Thats what im talkin about! Bit.chin ain,t easy!

Wema!
She is a looker! Shoves down our throats the fact that she was Miss Tz ages ago every chance she gets! She always takes what she wants, always has things her way! SPOILED LITTLE BRAT!!!!!!!!! Always looking for attention and cheap publicity! Livin the bit.ch legend (If u dont know what the bi.tch legend is dont ask me!) She will never let Diamond go as long as he is famous. Come to think of it, SHE MADE HIM! SHE GAVE HIM THE STATUS.

Penny!
The girl from the FARM!!!!!! You can always tell its not long ago she has arrived in the city! The farm is still inside her a LOT! But she speaks excellent English! She is UGLY too and is getting FATTER! Terrible for her! She fights for what she wants, she dares the devil! It a fact she will loose eventually to MADAME but at least she did put a fight (A farm fight though!). I respect her for that. Dont let people disrespect you and walk all over you without a fight. FIGHT TILL THE END!

I LARA 1 SERIOUSLY DOESNT CARE WHO WINS AT ALL!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mtu mmoja namuheshimu sana yupo kwenye entertainment industry kwa miaka mingi na exposed sana kwenye modern world aliniambiaga kitu kimoja na nikawaza sana nikahisi hajanidanganya japokuwa sina uhakika

Alisema hivi hakuna uhusiano na haujawai kutokea uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond, Wema sepetu, Jokate, Penny, Shigongo etc ila ni business strategy ya entertainment industry kutengeneza pesa kwa kuuza magazeti, diamond kuwa juu kimuziki, Wema kuwa juu kwenye movies zake, Jokate nae kuwa juu kwenye mambo yake na shigongo kufaidika na biashara zake na nasikia Wema, Jokate, Penny wanalipwa kwa kinachoendelea..

Hawa wanadanganya dunia sema kwa kutumia akili ya hali ya juu na wanatengeneza pesa nyingi sana kwa drama wanazoziigiza kwenye real life"

Nasikia huko America na nchi zingine zilizoendelea hii strategy ilishatumika sana na watu walitajirika kweli kweli..

Sometime hata bifu za kwenye music ni maigizo tu kwa ajili ya kutengeneza pesa..

Sasa kama mtu una akili timamu kaa chini fikiria mara mbili utapata jibu nini kinaendelea between diamond, wema, jokate, penny, shigongo, clouds fm etc utapata majibu

Yaani PENZI LA KUIBA HUKO NA HAWARA YAKO MMEJIFICHA NJE YA NCHI ILI MPENZI WAKO WA KWELI ASIWABAMBE LAKINI MNAKUBALI KUPIGWA PICHA NA KUPOST MITANDAONI YAANI MJULIKANE KABISA MPO PAMOJA,, CHEATING GANI YA KIJINGA KIASI HIKI?

Jamani Hii nayo inahitaji degree kujua ni tunadanganywa tu na drama zao na ni business strategy? Kweli CCM wamechakachua elimu zetu watanzania na kutupa degree za kata yaani hatujaelimika kabisa kabisa
 
mkuu hayo mengine tuyaache kwanza lkn je hivi hawa vijana wawili ni kwamba wanapendana bado ama wanarushana roho tuu??

je hawaoni kwa tabia zao hizi wanaumiza wapenzi wao??

Wema na Diamond wako incomplete wakiwa apart! Hapo wanasaidiana kupandishana chart kwenye kazi zao za kisanii.

Kuna interview nlimskia wema akisema yeye ndio top star hapa bongo zaid ya diamond na mtu yeyote..kuna ka ukwel flani manake baada ya picha na hizi habari za wao kurudiana imetokea ku save carrier ya diamond! Tuhuma za yeye kuiba wimbo wa msanii mwenzake haziongelewi tena..yan saiv kinacho ongelewa ni kurudia penzi lao!

Hapo ndo inathibitisha kuwa wema ni top star ndo mana mambo ya wizi wa wimbo hakuna tena . So wema amemsaidia ku clean his mess! Nadhan wanapendana bado tena sana na wanatumiana kwenye cover up za madudu ya kazi zao na ku create more fun base.

Hiyo couple ni kama kopo na mfuniko tu.
 
Mi naona wanampotezea tu direction Penny,maana diamond na wema wanafanana kitabia,halafu main aim yao kupata headlines za udaku ili wasishuke kisanaa.Penny aliingia pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…