i like your signature..............Wema na Diamond wako incomplete wakiwa apart! Hapo wanasaidiana kupandishana chart kwenye kazi zao za kisanii.
Kuna interview nlimskia wema akisema yeye ndio top star hapa bongo zaid ya diamond na mtu yeyote..kuna ka ukwel flani manake baada ya picha na hizi habari za wao kurudiana imetokea ku save carrier ya diamond! Tuhuma za yeye kuiba wimbo wa msanii mwenzake haziongelewi tena..yan saiv kinacho ongelewa ni kurudia penzi lao!
Hapo ndo inathibitisha kuwa wema ni top star ndo mana mambo ya wizi wa wimbo hakuna tena . So wema amemsaidia ku clean his mess! Nadhan wanapendana bado tena sana na wanatumiana kwenye cover up za madudu ya kazi zao na ku create more fun base.
Hiyo couple ni kama kopo na mfuniko tu.
Mi naona wanampotezea tu direction Penny,maana diamond na wema wanafanana kitabia,halafu main aim yao kupata headlines za udaku ili wasishuke kisanaa.Penny aliingia pabaya
sijui kama walikuwa mashoga,kama walikuwa mashoga basi hapo alikuwa ndo tatizo,kama ni hivo basi aliwatenganisha waliokuwa wanapendana ndo maana haya ya kurudiana yanatokea.lakin yy penny si ndo mgomvi??
kwamba kaweza hata kuingilia penzi la shogaye??
hivi Diamond ndiye mwanaume pekee kwenye Bongo Music?? ona wapo wengiNinachokiona hapa ni kuwa hawa mabinti wanajifanya kumpenda Diamond kwa sababu ana pesa, na Diamond anatumia nafasi hiyo kuwafanya atakavyo. Ndio muda wake wa ujana kujirusha, tatizo ni pale akikosea step akajirusha kisha akaangukia kichwa kwenye ncha ya jiwe.
sijui kama walikuwa mashoga,kama walikuwa mashoga basi hapo alikuwa ndo tatizo,kama ni hivo basi aliwatenganisha waliokuwa wanapendana ndo maana haya ya kurudiana yanatokea.
Diamonds ana Mapromotor wazuri sana. Anajua Jamii ya Watanzania wanapenda sana Majugu na yeye anawalisha kwelikweli. Kila siku hili, kesho lile ili muradi muda wote wanamesema yeye. Kwa hili amefanikiwa sana.
Keep doing what your doing Diamonds, kama mfanya biashara, wee dunda tu, RESPECT.
Inanikumbusha Michael Jackson enzi zake..... Nasubiri kusikia Diamonds kamla mate Selena Gomez.
yy ana akili?? ma anazo za kushikiwa??
hivi inahitajika elimu ya aina gani ili mtu ajitambue??
Asante kwa picha maana huku kwetu njinjo wote watatu hawajawahi kufika. Kama usemavyo hao wanarushana roho maana kama ni mikorogo wote hatare. Nadhani hata ngoma washacheza tu.mkuu hayo mengine tuyaache kwanza lkn je hivi hawa vijana wawili ni kwamba wanapendana bado ama wanarushana roho tuu?? je hawaoni kwa tabia zao hizi wanaumiza wapenzi wao??
sawa kama ni biashara basi kweli anapiga ila Wema ndio anayemfanya auze sana anake kwasasa hata ishu za kuiba wimbo wa mwenzie sasa hivi huziskii zaid ya habari kwamba mapepnzi yake na wema yamerudi upya