Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

MKATA KIU umenipa raha sana manake nimecheka mchana wa leo.

ila kweli na wameuza kwa staili hii manake jamani kweli mapenzi haya haya tuyajuayo ama ni mengine ya staili hii yao?? mbona nayaona ni magumu sana?? nashawishika sana kuamini unachokisema mdogo wangu
 
Last edited by a moderator:
Wema na Diamond wako incomplete wakiwa apart! Hapo wanasaidiana kupandishana chart kwenye kazi zao za kisanii.

Kuna interview nlimskia wema akisema yeye ndio top star hapa bongo zaid ya diamond na mtu yeyote..kuna ka ukwel flani manake baada ya picha na hizi habari za wao kurudiana imetokea ku save carrier ya diamond! Tuhuma za yeye kuiba wimbo wa msanii mwenzake haziongelewi tena..yan saiv kinacho ongelewa ni kurudia penzi lao!

Hapo ndo inathibitisha kuwa wema ni top star ndo mana mambo ya wizi wa wimbo hakuna tena . So wema amemsaidia ku clean his mess! Nadhan wanapendana bado tena sana na wanatumiana kwenye cover up za madudu ya kazi zao na ku create more fun base.

Hiyo couple ni kama kopo na mfuniko tu.
i like your signature..............
BTT........hapa nimwite lara 1 aje aseme neno manake ni kama umemaliza kila kitu.
ukweli Wema ni top star kuliko msanii yyte kwa Bongo hii, na anauza sana leo hii nakwambia akitoka hata na mlugaluga yyte siku hiyo hiyo huyo mlugaluga atapanda chati sana na ana funs wengi sana kuliko mtu unavyoweza kudhani.
 
Last edited by a moderator:
Mi naona wanampotezea tu direction Penny,maana diamond na wema wanafanana kitabia,halafu main aim yao kupata headlines za udaku ili wasishuke kisanaa.Penny aliingia pabaya

lakin yy penny si ndo mgomvi??
kwamba kaweza hata kuingilia penzi la shogaye??
 
Ninachokiona hapa ni kuwa hawa mabinti wanajifanya kumpenda Diamond kwa sababu ana pesa, na Diamond anatumia nafasi hiyo kuwafanya atakavyo. Ndio muda wake wa ujana kujirusha, tatizo ni pale akikosea step akajirusha kisha akaangukia kichwa kwenye ncha ya jiwe.
 
lakin yy penny si ndo mgomvi??
kwamba kaweza hata kuingilia penzi la shogaye??
sijui kama walikuwa mashoga,kama walikuwa mashoga basi hapo alikuwa ndo tatizo,kama ni hivo basi aliwatenganisha waliokuwa wanapendana ndo maana haya ya kurudiana yanatokea.
 
endelea kuwamega diamond.. Hawana akili..
 
Diamonds ana Mapromotor wazuri sana. Anajua Jamii ya Watanzania wanapenda sana Majugu na yeye anawalisha kwelikweli. Kila siku hili, kesho lile ili muradi muda wote wanamesema yeye. Kwa hili amefanikiwa sana.

Keep doing what your doing Diamonds, kama mfanya biashara, wee dunda tu, RESPECT.

Inanikumbusha Michael Jackson enzi zake..... Nasubiri kusikia Diamonds kamla mate Selena Gomez.
 
Ninachokiona hapa ni kuwa hawa mabinti wanajifanya kumpenda Diamond kwa sababu ana pesa, na Diamond anatumia nafasi hiyo kuwafanya atakavyo. Ndio muda wake wa ujana kujirusha, tatizo ni pale akikosea step akajirusha kisha akaangukia kichwa kwenye ncha ya jiwe.
hivi Diamond ndiye mwanaume pekee kwenye Bongo Music?? ona wapo wengi
siamini sana hili ulilolisema mbona hawaendi kwa masanja kama ishu ni mkwanja??
 
sijui kama walikuwa mashoga,kama walikuwa mashoga basi hapo alikuwa ndo tatizo,kama ni hivo basi aliwatenganisha waliokuwa wanapendana ndo maana haya ya kurudiana yanatokea.

ni kweli kwamba walikuwa good friends ingawa wanasema kwamba sio diamond alowafanya urafiki ukakoma
 
Diamonds ana Mapromotor wazuri sana. Anajua Jamii ya Watanzania wanapenda sana Majugu na yeye anawalisha kwelikweli. Kila siku hili, kesho lile ili muradi muda wote wanamesema yeye. Kwa hili amefanikiwa sana.

Keep doing what your doing Diamonds, kama mfanya biashara, wee dunda tu, RESPECT.

Inanikumbusha Michael Jackson enzi zake..... Nasubiri kusikia Diamonds kamla mate Selena Gomez.

sawa kama ni biashara basi kweli anapiga ila Wema ndio anayemfanya auze sana anake kwasasa hata ishu za kuiba wimbo wa mwenzie sasa hivi huziskii zaid ya habari kwamba mapepnzi yake na wema yamerudi upya
 
Mi labda nina tatizo kichwani.
Huwa sishangai hizi habari za hawa wanaojiita mastaa wa Bongo.
Ukisoma hapo alichofanyaDiamond ni kumwacha mpenzi wake wa sasa na kumfuata wa zamani.

Wangapi mtaani kila siku tunaacha wake zetu au wapenzi na kurudi kwa mahawara wa zamani?...mbona haya yanatokea kila mtaa, kila siku, kila sekunde?
Kwanini inapokuwa ni Diamond inakuwa ni issue hadi watu kuzipa kipaumbele?

Ni mwanaJf gani hapa ambaye hajawahi kucheat, au kufanya alichofanya Diamond, hebu atokeze!

Mi sijaona cha kushangaza, rather i would say umri unamruhusu, na hao wadada ni kipindi chao cha mpito cha kudanganyika na kudanganywa, no wonder!
Who knew that huyo K-Lin na urembo wake wote, hatimaye angekuja kukabidhi maisha kwa Mengi?
Waacheni vijana wafukuzane na mbio za sakafuni, muda ukifika watatundika madaluga darini.
 
kaka mkubwa PakaJimmy mie sijui umesoma comment yangu mwisho kabisa wa habari??

nimesema hivi kweli wanajitambua?? kwann waumizane wazi wazi ama kwann wawaumize wapenzi wao kwenye uwazi??
imagine penny yuko nyumban kweli hata kama adiamond alitaka kuiba basi angefanya kwa usiri mkubwa ili habari isiliki na kumuumiza mpenzi wake lkn kufanya upenuni huoni kama ni kutojitambua??

hata hao watu wazima unao wasema wengi hufanya lkn kwa nidham na heshima kwa yule aliyeko ndani. hawa ana wanajiachia kwa mbwembwe sana kiasi kwamba wanaharibu hadi future za wapenzi wao
 
Last edited by a moderator:
hivi inahitajika elimu ya aina gani ili mtu ajitambue??

elimu ya kiroho na elimu ya kawaida.......
elimu ya kiroho waweze kujua miili yao ni hekalu la Roho Mtakatifu.....na wanapofanya uasherati/uzinzi wanaichafua miili yao.....so watambue uwepo wa Mungu ndani ya miili yao....kwa hiyo waiheshimu, kuitunza na kuithamini miili yao.....wawe na hofu ya Mungu na kuichukia dhambi ya uzinzi/uasherati.....

elimu ya kawaida....watambue thamani ya ujana wao....na thamani ya miili yao.....watambue ujana ni maji ya moto...wasipokitumia kipindi cha ujana vizuri basi wanajichimbia shimo wenyewe......wakiutunza ujana vizuri basi watakuja kuufaidi uzee wao....
 
mkuu hayo mengine tuyaache kwanza lkn je hivi hawa vijana wawili ni kwamba wanapendana bado ama wanarushana roho tuu?? je hawaoni kwa tabia zao hizi wanaumiza wapenzi wao??
Asante kwa picha maana huku kwetu njinjo wote watatu hawajawahi kufika. Kama usemavyo hao wanarushana roho maana kama ni mikorogo wote hatare. Nadhani hata ngoma washacheza tu.
 
Kwenye fani ya saa, Majungu yanasaidia kwa asilimia 60 na sanaa inakupa asilimia 40.

Kwa majungu wanaishi na kuharibu maisha yao kwa majungu kama hujui kutenganisha kazi na maisha.
sawa kama ni biashara basi kweli anapiga ila Wema ndio anayemfanya auze sana anake kwasasa hata ishu za kuiba wimbo wa mwenzie sasa hivi huziskii zaid ya habari kwamba mapepnzi yake na wema yamerudi upya
 
Yaani unapoteza muda wako kufuatilia mapenzi ya wema na diamond? For what? Utajifunza chochote kutoka kwao au? Kuna marole model wa kufuatilia bt not these fools!
 
Back
Top Bottom