Kuna mtu mmoja namuheshimu sana yupo kwenye entertainment industry kwa miaka mingi na exposed sana kwenye modern world aliniambiaga kitu kimoja na nikawaza sana nikahisi hajanidanganya japokuwa sina uhakika
Alisema hivi hakuna uhusiano na haujawai kutokea uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond, Wema sepetu, Jokate, Penny, Shigongo etc ila ni business strategy ya entertainment industry kutengeneza pesa kwa kuuza magazeti, diamond kuwa juu kimuziki, Wema kuwa juu kwenye movies zake, Jokate nae kuwa juu kwenye mambo yake na shigongo kufaidika na biashara zake na nasikia Wema, Jokate, Penny wanalipwa kwa kinachoendelea..
Hawa wanadanganya dunia sema kwa kutumia akili ya hali ya juu na wanatengeneza pesa nyingi sana kwa drama wanazoziigiza kwenye real life"
Nasikia huko America na nchi zingine zilizoendelea hii strategy ilishatumika sana na watu walitajirika kweli kweli..
Sometime hata bifu za kwenye music ni maigizo tu kwa ajili ya kutengeneza pesa..
Sasa kama mtu una akili timamu kaa chini fikiria mara mbili utapata jibu nini kinaendelea between diamond, wema, jokate, penny, shigongo, clouds fm etc utapata majibu
Yaani PENZI LA KUIBA HUKO NA HAWARA YAKO MMEJIFICHA NJE YA NCHI ILI MPENZI WAKO WA KWELI ASIWABAMBE LAKINI MNAKUBALI KUPIGWA PICHA NA KUPOST MITANDAONI YAANI MJULIKANE KABISA MPO PAMOJA,, CHEATING GANI YA KIJINGA KIASI HIKI?
Jamani Hii nayo inahitaji degree kujua ni tunadanganywa tu na drama zao na ni business strategy? Kweli CCM wamechakachua elimu zetu watanzania na kutupa degree za kata yaani hatujaelimika kabisa kabisa