Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

Kuna mtu mmoja namuheshimu sana yupo kwenye entertainment industry kwa miaka mingi na exposed sana kwenye modern world aliniambiaga kitu kimoja na nikawaza sana nikahisi hajanidanganya japokuwa sina uhakika

Alisema hivi hakuna uhusiano na haujawai kutokea uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond, Wema sepetu, Jokate, Penny, Shigongo etc ila ni business strategy ya entertainment industry kutengeneza pesa kwa kuuza magazeti, diamond kuwa juu kimuziki, Wema kuwa juu kwenye movies zake, Jokate nae kuwa juu kwenye mambo yake na shigongo kufaidika na biashara zake na nasikia Wema, Jokate, Penny wanalipwa kwa kinachoendelea..

Hawa wanadanganya dunia sema kwa kutumia akili ya hali ya juu na wanatengeneza pesa nyingi sana kwa drama wanazoziigiza kwenye real life"

Nasikia huko America na nchi zingine zilizoendelea hii strategy ilishatumika sana na watu walitajirika kweli kweli..

Sometime hata bifu za kwenye music ni maigizo tu kwa ajili ya kutengeneza pesa..

Sasa kama mtu una akili timamu kaa chini fikiria mara mbili utapata jibu nini kinaendelea between diamond, wema, jokate, penny, shigongo, clouds fm etc utapata majibu

Yaani PENZI LA KUIBA HUKO NA HAWARA YAKO MMEJIFICHA NJE YA NCHI ILI MPENZI WAKO WA KWELI ASIWABAMBE LAKINI MNAKUBALI KUPIGWA PICHA NA KUPOST MITANDAONI YAANI MJULIKANE KABISA MPO PAMOJA,, CHEATING GANI YA KIJINGA KIASI HIKI?

Jamani Hii nayo inahitaji degree kujua ni tunadanganywa tu na drama zao na ni business strategy? Kweli CCM wamechakachua elimu zetu watanzania na kutupa degree za kata yaani hatujaelimika kabisa kabisa
Watakuelewa basi!!!
 
Mi naona wanampotezea tu direction Penny,maana diamond na wema wanafanana kitabia,halafu main aim yao kupata headlines za udaku ili wasishuke kisanaa.Penny aliingia pabaya

Akome kiherehere chake chakutaka hela asizozifanyia kazi....itamcost sana huyu binti
 
U wish I was eh!...sorry,,,I was not insulting you,I was just tryn to describe you...

Hahahaaaaaaaa! No need to appologise! Offense taken NONE! My curiosity just got better of me, I WAS JUST ASKING A CURIOUS QUESTION! WHY ALL THE EXPLANATIONS! YES OR NO COULD HAVE DONE IT! OR SHOULD I BE CURIOUS ON YOUR INVOLVEMENT IN MY CURIOUS QUESTION? Mmmmmmmmmmmmmmh! Somethin is surely FISHY here!

I dont wish you were anything, i just prefere you remain what you are now! NOTHING!!!!!!!!
 
Diamond bwana ajakoma tuu..nlshamwona kwa macho yangu Wema na Julio kocha wa Simba ya sasa pale Tanga beach resort na ilkua week tu baada ya diamond kumvisha pete..ila labda kabadilika...asituimbie tu kua katendwa tena sijui
 
mmh hivyo diamond angekuwa mpiga debe wangemn'gang'ania hivyo?wadada bwana wanajidhalilisha tu.miaka 10 baadae watajutia waliyoyafanya.kwa sasa bado wazuri wanajiona wana soko,haipendezi basi tu.
 
Hamjui,mkijuacho behind the scene..
nawachora tu hapa mnavyojadili vitu msivyo na uhakika navyo.
mnahis his tu.

Sisi ndio tunakuchora wewe hapa maana hata huko China wanakopigana boro wewe haupo umekaria upashkuna tu hapa na nina uhakika Wema na Penny wakiwa kwenye Period wewe nfio substute wao wa kuinamishwa.
 
Mimi nacho weza kusema hapa ni kwamba kunamtu ukidu naye miaka nenda rudi hafutiki kwenye kumbu kumbu kwa namna hiyo hata kama ni mwenye tabia za aje bado utamhitaji tu pindi kunako nafasi!!!!!!!!!!!!1 so siwashangai
Kitu cha pili tabia zao hazina tofauti na binadamu wengine tena wengi tu hasa vijana ni kwa kuwa mambo yao yanafuatiliwa na kujulikana tu! kuna watu wengi tu wana wapenzi wengi na wanawahonga nyumba, magari na kusafiri nao zaidi ya huyo Diamond na wema wala msiwashangae kwa hilo washangaeni kuruhusu kuanika uhusiano wao kihivyo!
Mimi nachoamini naona Wema hataki kukubali kuchuja anajitahidi kutumia kila njia abakie kwenye vichwa vya watu na aonekane ili soko lake lisishuke maana wapo waliokubali kirahisi soko lilishuka wakawa kwenye level hata za kununulika kwa chakula na pombe!
Wema anataka ku- maintain status yake na nampongeza maana toka 2006-sasa ananunulika kwa mamilioni si haba!
 
Back
Top Bottom