Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

Kwa habari hii (Diamond & Wema) napata picha kwamba Vijana wengi bado hawajajitambua...

Keyser Söze;7546286 said:
Yaani unapoteza muda wako kufuatilia mapenzi ya wema na diamond? For what? Utajifunza chochote kutoka kwao au? Kuna marole model wa kufuatilia bt not these fools!

sidhani kama ni sahihi kuwaita wapenzi '-FOOLS-'
LOVE IS CRAZY...u know
 
Nilichojifunza ni kwamba lau mambo yangu binafsi ya enzi za ujana yangekuwa yanaandikwa, watu wa magazeti wangekuwa ndio Ma-Sonko wa Bongo!

I have far stunning love episodes in comparison to Diamond, shida ni tu kwamba sipati coverage!
 
kaka mkubwa PakaJimmy mie sijui umesoma comment yangu mwisho kabisa wa habari??

nimesema hivi kweli wanajitambua?? kwann waumizane wazi wazi ama kwann wawaumize wapenzi wao kwenye uwazi??
imagine penny yuko nyumban kweli hata kama adiamond alitaka kuiba basi angefanya kwa usiri mkubwa ili habari isiliki na kumuumiza mpenzi wake lkn kufanya upenuni huoni kama ni kutojitambua??

hata hao watu wazima unao wasema wengi hufanya lkn kwa nidham na heshima kwa yule aliyeko ndani. hawa ana wanajiachia kwa mbwembwe sana kiasi kwamba wanaharibu hadi future za wapenzi wao
.wako okay with the love triangle so sioni issue because hawashurutishwa. sidhani kama wanaumia because kila kitu kiko wazi. its a strange concept for 'old fashioned' people lakini ndio vijana wa leo walivyo
 
Last edited by a moderator:
waoh,.............umenisusa halafu umeadimika nakuonaga tu kule kwenye jukwaa la kikubwa

Sio hvo laazizi,
na wala sijakususa.
Si unajua kule nako nina majukumu mengine!
Nipo mpendwa.
 
.wako okay with the love triangle so sioni issue because hawashurutishwa. sidhani kama wanaumia because kila kitu kiko wazi. its a strange concept for 'old fashioned' people lakini ndio vijana wa leo walivyo

ni kweli bhana manake hawalazimishwi kuwa date
DIAMOND-WEMA-1.jpg
 
Lakini Diamond anadate watoto wazuri acheni kabisa....................... cheki hapa na Wema
DIAMOND-WEMA-1.jpg

halafu mcheki Penny hapa
18594b3a2d2e11e3bfc922000a9e08f9_7.jpg
 
Hiyo ndo 'Movie' yenyewe na 'sterling' ndo hao hao labda kama unamsubiri staa mwingine na ushaambiwa kitu 'temptation' bado tu hujaelewa? ushaelewa ama nikuelewesheje mkuu?
 
hao wapu...mbavu wasiwapotezee muda kuwajadili.

mnavyoweka attention kwao ndipo furaha yao ilipo.
 
Si wema anajifananishaga na rihana halafu ndomo ndio chrisbrown,eti anasema anafanisha mapenz yak na diamond kama rihana na chrisbrown,apo tu nikaamin dada yetu uzi umekatik kichwani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
IMG-20131009-WA0008.jpg

Diamond akiwa na Wema na binamu yake aitwae Romeo

Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ‘ile inayoitwa’ movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, ‘Temptations’ haipo na kama unaingoja, utaingoja hadi miguu iingie tumboni. Hakuna movie.
Diamond na Wema Sepetu walikuwa wakila bata na kufurahia kama wapenzi wengine wanaopendana kwa dhati. Kwa kuangalia picha tu, ni rahisi mno kujua penzi zito kati ya wawili hawa. Picha hizo ni ishara kuwa, Diamond na Wema hawajawahi kuachana na Diamond amekuwa akimcheat mpenzi wake Penny.
Wazungu wanasema, kama hujafanya utafiti hauna haki ya kuzungumza, hivyo ili kuonesha kuwa hizi si brabra tu, tumefanya utafiti kwanza.

Ukweli wa kwanza tulioubaini ni kuwa, Diamond na Wema Sepetu walikutana Hong Kong na sio Malaysia. Wema alienda huko takriban wiki tatu zilizopita na hivyo Diamond alimfuata baada ya kumaliza show yake ya Malaysia. Kwa mujibu wa msichana aitwaye Alice aliyeiambia Bongo5, Diamond alisafiri kutoka Kuala Lumpur, Malaysia kwenda Hong Kong kumfuata Wema kwa ndege ya kampuni ya Air Asia.
“Nilipanda na Diamond flight moja from KUL to HKG tena ilikua ni Air Asia X flight number 567 alipandia KUL-LCC Terminal nilimuona kwenye lounge direct nikashangaa anafanya nini huku na baada kufika HKG sijui hata alipotelea wapi kumbe haya yote ndo alikua akiyafuata hongera zao,” alisema Alice.
Huko, Diamond na Wema wamekaa wote kwenye hoteli moja na mpenzi wake Penny hakuwa anajua kuhusu hili hadi picha hizi zilipoanza kuenea na yeye ameshtuka kama walivyoshtuka wengine.
Haijajulikana picha hizo zimesambazwa na nani lakini kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, kuna uwezekano kuwa picha hizo zimesambazwa na Wema wenyewe kwa kusudi la kumuumiza Penny. Kuna taarifa zimeifikia Bongo5 kuwa, Penny ameumizwa mno na picha hizo na amekuwa akilia siku nzima. Hata hivyo binafsi hatujaweza kuthibitisha taarifa hizo.
Jitihada za kumtafuta Penny azungumzie suala hili zimegonga mwamba kwakuwa simu yake haipokelewi.

18594b3a2d2e11e3bfc922000a9e08f9_7.jpg
Penny

Hivi karibu kwenye birthday ya Diamond, Penny alielezea kuwa uhusiano wake na Diamond ndio mgumu zaidi katika mahusiano yote aliyowahi kuwa nayo.
“Not the easiest relationship I’ve ever had..but its the most intresting! When I’m down, he would make me feel on top of the world, my bestfriend, my brother, my soulmate, my baby, my man. My strength, my joy, my love, Ohhh!!! What else do I gotta say? I love u, and its been a blessing to have met you, u taught me that love is just Me&You the rest shouldnt matter or make me loose my sleep, today I ask God to bless u a million more times, the sweetest boyfriend ever!!! Crazie too..unpredictable mind, through the ups and downs Im gona hold you down til God says so..you have taught me that love conquers all, that Love is pain, but the pain is worth the while..I love you baby,” aliandika Penny.
Miaka ya nyuma, Wema na Penny walikuwa marafiki wakubwa lakini kwa mujibu wao wenyewe, urafiki wao uliharibika hata kabla ya wote kufahamiana na Diamond.

Source Gumzo la jiji:

Ninachojiuliza mimi hivi ni kwamba vijana hawajajitambua?? na je swala la moving from one partner another, kwa mbwmbwe ni ustaa ama ndio ujana??
anyway sina nia mbaya ya kuajdili personal life ya mtu lkn nataka tu tujifunze kwamba we still have long way to go especially kwenye kuwafanya vijana wajitambue. Kukosea kupo sana lkn unapogundua kwamba umekosea simama ifute endelea na safari na usirudi tena kwenye utelezi uliokudondosha.

Kunashida sana hawa wadogo zetu, cjui ni pepo au nini, yaani hadi kinyaa!
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA!

I love this SAGA! Wote ni down to earth BIT.CHES!!!!!!!!!!! Kick a.ss mwanzo mwisho! Thats what im talkin about! Bit.chin ain,t easy!

Wema!
She is a looker! Shoves down our throats the fact that she was Miss Tz ages ago every chance she gets! She always takes what she wants, always has things her way! SPOILED LITTLE BRAT!!!!!!!!! Always looking for attention and cheap publicity! Livin the bit.ch legend (If u dont know what the bi.tch legend is dont ask me!) She will never let Diamond go as long as he is famous. Come to think of it, SHE MADE HIM! SHE GAVE HIM THE STATUS.

Penny!
The girl from the FARM!!!!!! You can always tell its not long ago she has arrived in the city! The farm is still inside her a LOT! But she speaks excellent English! She is UGLY too and is getting FATTER! Terrible for her! She fights for what she wants, she dares the devil! It a fact she will loose eventually to MADAME but at least she did put a fight (A farm fight though!). I respect her for that. Dont let people disrespect you and walk all over you without a fight. FIGHT TILL THE END!

I LARA 1 SERIOUSLY DOESNT CARE WHO WINS AT ALL!!!!!!!!!!!!!!

There is someone who will come and tell all we say here are the illusions and hallucinations.... Diamond and Wema what we see is movie making called TEMPTATION.... Ha ha haaa!! There is nothing sound like movie there but am sure heaven on desert will come and tell us it's just a movie, upo hapo lara 1 na gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAAAAAAAAAAAA!

I love this SAGA! Wote ni down to earth BIT.CHES!!!!!!!!!!! Kick a.ss mwanzo mwisho! Thats what im talkin about! Bit.chin ain,t easy!

Wema!
She is a looker! Shoves down our throats the fact that she was Miss Tz ages ago every chance she gets! She always takes what she wants, always has things her way! SPOILED LITTLE BRAT!!!!!!!!! Always looking for attention and cheap publicity! Livin the bit.ch legend (If u dont know what the bi.tch legend is dont ask me!) She will never let Diamond go as long as he is famous. Come to think of it, SHE MADE HIM! SHE GAVE HIM THE STATUS.

Penny!
The girl from the FARM!!!!!! You can always tell its not long ago she has arrived in the city! The farm is still inside her a LOT! But she speaks excellent English! She is UGLY too and is getting FATTER! Terrible for her! She fights for what she wants, she dares the devil! It a fact she will loose eventually to MADAME but at least she did put a fight (A farm fight though!). I respect her for that. Dont let people disrespect you and walk all over you without a fight. FIGHT TILL THE END!

I LARA 1 SERIOUSLY DOESNT CARE WHO WINS AT ALL!!!!!!!!!!!!!!

Bit.ch recognizes bit.ch ....
 
Back
Top Bottom