Kwa hali hii atawezashika ujauzito kweli?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Habari madoctor wa familia ya Jf natumai hamjambo.
Shemeji yenu anaomba msaada wenu wa kiudakitari kwa miaka minne iliyopita alijaliwa kupata mtoto,na alikuwa anatumia sindano kupanga uzazi kwa miezi minne iliyopita alisitisha kutumia sindano kwa ajili ya kumpata mtoto mwingine ila toka alipoacha kutumia sindano akienda kwenye siku zake anasema damu hutoka kidogo tofauti na hapo awali sasa anauliza kwa hali hiyo ya kwenda kwenye siku zake kwa kiwango cha damu kidogo hivyo tofauti na awali anaweza akashika ujauzito? Tarehe 6.12.ndo ameingia kwenye siku zake na ni tarehe ipi aki du atawezashika ujauzito? Na kuna dawa ya kutumia ili aweze kurudia hali yake ya kawaida ya kwenda kwenye siku zake.?
 
Kwanza kabisa wanasema sindano 1 huzuia kupata mimba kama mwaka mmoja,kwahivyo itabidi awe mvumilivu kwa muda na pia atumie chai ya tangawizi ili kuwezesha siku zake zikae vizuri au aende hospital kusafishwa kizazi
 

kwani zina chukuwa muda gani?kwa maelezo zaidi ni kwamba ukianzia hiyo tarehe 6,hesabu siku 12 mbele ambayoo itakuwa tarehe 17/12 kuanzia hapo ni siku nzuri hadi tar.24/12 kwa maelezo zaidi piga simu na.0684023898
 
Kwa kubahatisha zaidi, siku ya 10 (siku ya kwanza ni ile.aliyoanza hedhi) hadi ya 16 ndo siku za kupata ujauzito. Lakini kwa sababu hormones zake.zimekuwa disturbed na sindano, huenda akapevusha yai siku nje ya hapo (kuna wanaopevusha siku ya 25). Njia nzuri zaidi ni kuenda kwa gynae, kama akiona hormones ziko sawa atafanyiwa follicular study kuhakiki siku ya kupata ujauzito. Kila la kheri. Hakikisha hana stress, mkiwa na stress inachangia kutopata ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…