KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Habari madoctor wa familia ya Jf natumai hamjambo.
Shemeji yenu anaomba msaada wenu wa kiudakitari kwa miaka minne iliyopita alijaliwa kupata mtoto,na alikuwa anatumia sindano kupanga uzazi kwa miezi minne iliyopita alisitisha kutumia sindano kwa ajili ya kumpata mtoto mwingine ila toka alipoacha kutumia sindano akienda kwenye siku zake anasema damu hutoka kidogo tofauti na hapo awali sasa anauliza kwa hali hiyo ya kwenda kwenye siku zake kwa kiwango cha damu kidogo hivyo tofauti na awali anaweza akashika ujauzito? Tarehe 6.12.ndo ameingia kwenye siku zake na ni tarehe ipi aki du atawezashika ujauzito? Na kuna dawa ya kutumia ili aweze kurudia hali yake ya kawaida ya kwenda kwenye siku zake.?