Ccm wamekuwa wakiahidi kutatua kero za muungano miaka na miaka lakini kimya, hata hao wapinzani hawajaahidi kuuvunja bali wameahidi muungano wa manufaa kwa pande zoteHapana Muungano usivunjike lakini kama kuna vitu haviendi sawa basi viwekwe sawa ili kila mhusika wa Muungano atendewe Haki.
Wanaoogopa Muungano usivunjike Ni wale ma mwinyi wa unguja ambao hawamtaki kufanya kazi, kwa CCM ndo chakula yao, wanategemea kulindwa na Bara ili waendelee kuishi bila kutoa jashoFaida za Muungano zimebakia ni za ki-academic au kihistoria. Watu wanaogopa kuvunja Muungano utadhani kabla ya 1964 kulikuwa hakuna Tanganyika au ZNZ.
Tunaichelewesha bure ZNZ kupata maendeleo kipitia kipaumbele vyao na raslimali zao. No uwongo kusema tunawaenzi Nyerere na Karume kwa kudumisha MUUNGANO kwa kuwa siku zote walitaka identity ya ZNZ kama Taifa isipotee. Nyerere kwa ninavyomuelewa angekuwa hai angetambua kwamba sababu za kuwa na MUUNGANO wa Serikali 2 zimepitwa na wakati kwa hiyo angeshauri ifanyike referendum kwa wananchi kutathmini kama tunamtaka Muungwana.
Kweli kabisa mkuuCcm wamekuwa wakiahidi kutatua kero za muungano miaka na miaka lakini kimya, hata hao wapinzani hawajaahidi kuuvunja bali wameahidi muungano wa manufaa kwa pande zote
Peleka ujinga huko! Katiba yenyewe mmeshindwa kuilinda dhidi ya mshamba mmoja itakuwa muungano? Kwa taarifa yako Lissu na Seif ndio watakao jenga muungano huru na wa kisasa kabisa duniani.Hawawezi maana huu muungano tumeapa kuulinda mpaka kwa tone la mwisho la damu zetu
Msanii JF
Unataka uvunjike? Hujui umuhimu wake, thought u were smarter
Maagano gani ya kishirikina, ushirikina ni nn according to u? Je ukristo/ uislam si ushirikina? I thought u were smarter
Mimi siamini huo uislamu wala ukristo hali kadhalika, lakini bora huo ukristo na uislamu wangalau wanafanyia ibada zao hadharani, tofauti na hilo agano la kuchanganya udongo, lisilo na maelezo ya kina.
Uwepo usiwepo Nothing special, duuh, hata nikikwambia umuhimu wake, kwako utabaki, nothing special.Uwepo usiwepo nothing special, labda uniambie nini haswa umuhimu wake.
Muungano hauna faida kwa sasa. Sanasana unawachelewesha Wazanzibari wasipige hatua kuchumi. Tunaweza kuitisha referendum ili kupata ukweliUwepo usiwepo Nothing special, duuh, hata nikikwambia umuhimu wake, kwako utabaki, nothing special.
Yani hata ile common sense ya kujua umuhimu wa muungano, haipo.
Thought u were smarter, baki na fikra zako, ila October kibaraka wenu anapigwa chini tena, na muungano utabaki intact, mpende msipende.
Haya ni matumizi mabaya ya akili. Kuzungumzia kero za Muungano siyo kuivunja bali ni kutaka kuuimarisha na Lissu siye wa kwanza kuzisema hizo kero. Semeni tu mumezidiwa hoja na hamna majibu nanyi mumezoea kujibu hoja kwa risasi.Lissu yupo Zanzibar kusaka kura za urais wa Jamhuri.
Nimeanza na dibaji hiyo kwa minajili ya kusema yafuatayo:
1. Katika kunadi sera zake na ahadi za mgombea wa Urais hajawahi kuzungumzia namna atakavyolinda na kuuenzi Muungano ulioasisiwa na mababa wa mataifa ya Tanganyika na Zanzibar.
2. Akiwa Bungeni, Mhe. Lissu aliwahi kuzungumzia Muungano akionyesha kutoukubali na utayari wa kuuvunja.
3. CHADEMA katika harakati zake inakwepa kujadili Muungano wetu.
4. Hawajaweka mgombea wa urais wa Zanzibar na wametangaza kumuunga mkono Maalim Seif ambaye siku zote amekuwa akidai Muungano hauna manufaa na akiupata urais wa Zanzibar atavunja Muingano huo.
Hivyo, endapo Lissu atashinda Bara na Maalim akashinda visiwani basi meza ya muungano itapinduliwa kirahisi kifuta historia tukuka ya Muungano na mshikamano wa kitaifa.
5. CHADEMA haikutangaza awali kumuunga mkono Maalim Seif hapo awali lakini baada ya Seif kuhamasisha wafuasi wake kubeba majambia, mashoka na mundu ili kuleta machafuko, hatua hiyo imeipelekea CHADEMA kuona wamepata mshirika anayeendana na malengo yao.
Ikumbukwe CHADEMA ilipozindua kampeni zake pale Zakhiem ilitangaza maandamano ya nchi mzima kipindi hiki kwa minajili ya kushinikiza hoja zao na kuleta machafuko nchini.
Kwa sababu hii na nyinginezo inapelekea allegations za CHADEMA kujiandaa kuvunja Muungano wetu tukuka.
Hivyo, sisi wapigakura tunajua nini cha kufanya hapo Oktoba 28 ili kuulinda na kuuenzi Muungano wetu.
Msanii JF
Lissu hafai kuwa Rais kwa mstakabali wa taifa letu.Lissu yupo Zanzibar kusaka kura za urais wa Jamhuri.

Uwepo usiwepo Nothing special, duuh, hata nikikwambia umuhimu wake, kwako utabaki, nothing special.
Yani hata ile common sense ya kujua umuhimu wa muungano, haipo.
Thought u were smarter, baki na fikra zako, ila October kibaraka wenu anapigwa chini tena, na muungano utabaki intact, mpende msipende.
Ujinga wa mtu mweusi, as if wazungu hawalaumiani kwenye chaguzi zao, you're just a brainwashed nyumbu.Huna utetezi wowote wenye mashiko wa huo muungano, ndio maana unaleta porojo. Kuwepo utakuwepo lakini ni kwa shuruti sio kwa ridhaa ya wengi, haswa wazanzibari.
Hiyo October unayotambia hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.