Kwa hali hii Lissu kweli ana msimamo?

Ruzuku kwa vyama vya Siasa nchini Tanzania hazitokani na maridhiano bali zinatokana na wingi wa Kura katika Uchaguzi Mkuu wa nchi.
 
sasa ruzuku aliyochukua Mbowe na maridhiano aliyoingia vilisaidia vipi CHADEMA isiibiwe uchaguzi wa 2024?. Je hayo maridhiano yamesaidia vipi kupatikana kwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
Naendelea kukupiga spana we bichwa box ruzuku haitokani na maridhiano bali idadi ya kura alizopata mgombea urais wa chadema ambaye ni tundu lisu, tulia kijana utaloweshwa.
Sass mbona hapo mwanzo hio ruzuku ilikua haaingii? Au kwa sababu lissu alikua Belgium?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…