Kwa Hali Hii Makange Lazima Yagande Makete Sio Kwa Baridi Hil

Nitakua Makete tarehe 16 June 2022. Mbona mnanikatisha tamaa ndugu zangu? Natakiwa kufika Kitulo- Makete kwa siku 14.....nibebe "blanket"?
 
Hapo bado sana. Huwa inafika negative kabisa
 
Niko makete mda huu....hapo mbugani kitulo ukikatiza ndio balaa
 
Balaa huu ni muda wakujua style zote....ni kupinduana pinduana tuu.
Mume sharti aondoke asubuhi tayari bunduki ilishafyatua risasa kadhaa
Kumbe genye zipogo ehne, ila kunakuaga hakuna mazingira wezeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…