Kwa Hali Hii Makange Lazima Yagande Makete Sio Kwa Baridi Hil

Uzazi wa mpango, na kalenda twazifaham so acha tufaidi mema ya nchi kabla ya vita ya ukraine haijafika pwani yetu
Au sio,ngoja na mie nihamie makete inaonekana huko mnafaidi sana
 
Balaa huu ni muda wakujua style zote....ni kupinduana pinduana tuu.
Mume sharti aondoke asubuhi tayari bunduki ilishafyatua risasa kadhaa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Bro baridi ikizidi inakua uncomfortable
 
Niko Njombe mda huu jamani acheni huu mkoa unabaridi hatari

Balaa lingine ni kwamba mkoa una mdudu

sasa sijui itakuaje nani anisaidie ili ifike hata kesho niende ninapoenda!

Ndo maana watu wa huku wanakufa na majiko ndani acheni tu ni balaa
 
Kumbe genye zipogo ehne, ila kunakuaga hakuna mazingira wezeshi
Mazimgira gani wezeshi jamani mnataka nyie watu....mie mke wangu akinibinulia tako tuu tayari mazingira yanakuwa poa....alafu kibaridi ndio unasimamia kucha kabisaaa
 
Niko Njombe mda huu jamani acheni huu mkoa unabaridi hatari

Balaa lingine ni kwamba mkoa una mdudu

sasa sijui itakuaje nani anisaidie ili ifike hata kesho niende ninapoenda!

Ndo maana watu wa huku wanakufa na majiko ndani acheni tu ni balaa
Unakula mdudu tuu mwanawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…