Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Ndom huzijui mkuu?Niko Njombe mda huu jamani acheni huu mkoa unabaridi hatari
Balaa lingine ni kwamba mkoa una mdudu
sasa sijui itakuaje nani anisaidie ili ifike hata kesho niende ninapoenda!
Ndo maana watu wa huku wanakufa na majiko ndani acheni tu ni balaa
Mkuu hiyo Kitulo ndio zaidi ya Makete. Kwa ushauri kama ni mkazivwa pwani ama sehemu ya joto beba blanket kabisaNitakua Makete tarehe 16 June 2022. Mbona mnanikatisha tamaa ndugu zangu? Natakiwa kufika Kitulo- Makete kwa siku 14.....nibebe "blanket"?
Kasema "blanket", akimaanisha 'blanket chapa mtu'.Mkuu hiyo Kitulo ndio zaidi ya Makete. Kwa ushauri kama ni mkazivwa pwani ama sehemu ya joto beba blanket kabisa
Mkuu uliache blanketi Tena? USILIACHE,na sio blanketi tu unatakiwa uwe na koti zito soksi na mzura, pia kama ww ni malaini laini sana beba na gloves kabisa.Nitakua Makete tarehe 16 June 2022. Mbona mnanikatisha tamaa ndugu zangu? Natakiwa kufika Kitulo- Makete kwa siku 14.....nibebe "blanket"?
Huku gridi ya taifa ipo ya kutosha kuunganishwa ni kugusa tu, huku ukitokea msiba wa mtu aliyeingiliwa na yule mdudu majonzi huwa ni mengi mno kwani hata waliodhani kuwa ni wazima wanaweza jijua afya zao baada ya chain ya mahusiano ya marehemu kuwekwa wazi na zile stori stori za msibani....unaweza jikuta umeunganishwa kupitia mnyororo wa watu wengine ambao kutokea kwa marehemu. Kwahiyo na ww unaweza jikuta ukiangua kilio kwa uchungu msibani Tena katikati ya kundi la watu ikiwa hata huna undugu Wala ukaribu wowote na marehemu huku waombolezaji wakijua una uchungu sana na marehemu kumbe ww uko na maumivu yako mengine kabisa.Tatizo la njombe jamaa kuna mdudu kama wote
Umetisha mkuu....ngoja nihamie huko kwa ndugu zangu wa hiv+Huku gridi ya taifa ipo ya kutosha kuunganishwa ni kugusa tu, huku ukitokea msiba wa mtu aliyeingiliwa na yule mdudu majonzi huwa ni mengi mno kwani hata waliodhani kuwa ni wazima wanaweza jijua afya zao baada ya chain ya mahusiano ya marehemu kuwekwa wazi na zile stori stori za msibani....unaweza jikuta umeunganishwa kupitia mnyororo wa watu wengine ambao kutokea kwa marehemu. Kwahiyo na ww unaweza jikuta ukiangua kilio kwa uchungu msibani Tena katikati ya watu ikiwa hata huna undugu Wala ukaribu wowote na marehemu huku waombolezaji wakijua uko na uchungu na marehemu kumbe ww uko na maumivu yako.
Blanket halisaidii, inabidi ubebe Jiko la mkaa.Nitakua Makete tarehe 16 June 2022. Mbona mnanikatisha tamaa ndugu zangu? Natakiwa kufika Kitulo- Makete kwa siku 14.....nibebe "blanket"?
Mateso mengine hukoHamia Dar
Sio tu blanketi but mablanketi mazito na ununue Njombe sio Dar!Nitakua Makete tarehe 16 June 2022. Mbona mnanikatisha tamaa ndugu zangu? Natakiwa kufika m Kitulo- Makete kwa siku 14.....nibebe "blanket"?
Umeelewa "mablanketi" yenyewe??Sio tu blanketi but mablanketi mazito na ununue Njombe sio Dar!
Soma tena aina ya "Blanket"Blanket halisaidii, inabidi ubebe Jiko la mkaa.
OkayMkuu hiyo Kitulo ndio zaidi ya Makete. Kwa ushauri kama ni mkazivwa pwani ama sehemu ya joto beba blanket kabisa
Umeelewa "mablanketi" yenyewe??
Hapo mbona bado ! Mara ya mwisho nilikuwa huko ilifika minus 4 Celsius