Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

Vita sio 'kidali poo'...kuna kusukuma na kusukumwa pia(Vuta nikuvute).

Russia kuachia hiyo miji haina maana ya moja kwa moja kwamba ameshindwa. Kuna kuiachia kimkakati.

Btw, kumbuka mrusi anapigana na NATO sio Ukraine/Marekani pekee.
Wewe NATO unaijua unaisikia?- Ikiingiza mtiti hapo Ukraine, hakuna kifaru wala baisketi ya Mrusi itakayokatiza katika barabara yoyote ya Ukraine.
Unaijua F-35 wewe?, Unazijua Tomahawks cruise missiles wewe?, Unazijua Bunker buster?-Hakijatumika chochote katika hizo lakini Urusi ulimi nje!
Sasa hivi Urusi anapigana na Ukraine inayosaidiwa dilaha na nchi za NATO, Urusi haipigani na NATO, mziki wa NATO si wa kitoto
 

Ujue kuna Aliens wako Ukraine, siri yako nakupa usimwambie mtu, kuna invisible aliens kibao Ukraine wanawapiga Russia.. Ila Ukraine wenyewe hawawaoni, hao invisible Aliens wanatoka kule Area 51, Groom Lake in southern Nevada, USA, hao ndio wanawamaliza Warusi, ila msiseme nimewaambia. US mchawi sana aisee, invisible aliens ndio uchawi wao na wana piga balaa, speed hakuna kiumbe chochote kinakuta na kinapotelea hewani na hakionekani..! Hii sio conspiracy theory..!!
 
Porojo
 
Na hata hao Nato pia wanajua mrusi hajaweka mziki wote hapo........kila mtu anamvizia mwenzie
 
Mvamizi anapata tabu Sana haamini macho yake.
 
kama hawajamega eneo la urusi, bado sana. usiwashangilia kwa kuwa ijapokuwa wanampiga mrusi lakini wanaharibu miundo mbinu ya Ukraine. Siku wakivuka mpaka wakaingia Urusi, hapo ndipo tutaweza kumpima mrusi
 
Na mrusi bado hajatuma jeshi kamili zaidi ya hio kampuni ya wagner inayopeleka wafungwa huko kupigana na wale jamaa wa Chechnya

Mmarekani mwenyewe anajua jamaa bado anauwezo mkubwa sana wakubadili matokeo sema hii vita inapigwa ndani na nje ya uwanja wa mapambano
 
 
Mkuu punguza porojo Putin anachakazwa na wanadamu kabisa tena ukraine sio NATO. Siku wakiingia NATO Putin atatafuta pa kukimbilia.
 
Putin amebaki kubwabwaja tu na ubabe wake kama wa dume la nyani.
 
Mchina hana lolote vitu vyake vyote feki ysle mabomu ya nuclear ni fake sio ya kweli.
 
Mchina hana lolote vitu vyake vyote feki ysle mabomu ya nuclear ni fake sio ya kweli.
Marekani asingekua anamuwekea vikwazo vya biashara maana angepoteza tu soko na bidhaa feki
 
Sawa Biden wa Buza...nimekupata 'loud and clear'. Over..😅
 
Duniani hakuna nchi ya kuipiga Urusi ata moja au ziki ungana kwa sababu ya siraha ya nyukria ingekuwa kama Libya tungeongea mengine na hakuna nchi ya kuipiga Marekani China Ufaransa India Israel Uingereza Germany kwa sababu tu ya hizo siraha na hakuna teknolojia ya kuzuia Nyukria duniani hiyo ndio jeuri ya Warusi then mrusi atabiliki
 
Nimecheka eti umesoma waraka wa Siri.Hii nchi watu wake waingizwe kwenye maajabu ya Dunia.
 
Kama gadafi aliruka nao muda mrefu tuu hata putini anaweza kuwavuruga kwanza Ana ardhi kubwa yeye anachofanya ni kuachia manyuklia iwe Vita ya hayo madude wafe wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…