MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Grade 2 ya point 19 ❎ Division 2 ya point 19 ✅. Kama utaishi na mwanao milele ndo unatakiwa ufanye hivyo. Huyo ni mtu mzima naye ana ndoto zake... usimuambukize hizo akili zako za kipumbavuHii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Grade 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.
Majibu yametoka na kafaulu kwenda chuo cha Upolisi (CCP Moshi), ila naghahiri kumpeleka mara moja.
Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.
Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.
Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.
Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.
Wabillahi Tawfiq 🙏
Niwatakie Alhamis Njema.
Polisi ni miongoni mwa makundi maskini zaidi Tanzania,Hivi mkuu hivi Police Constable ana vuta ngapi?Tujezi tule wanaringa nato vibaya mnooo!!!?
lkn nyuma ya pazia sie ndo tunayajua maisha yao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kufuru ukhty....Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Grade 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.
Majibu yametoka na kafaulu kwenda chuo cha Upolisi (CCP Moshi), ila naghahiri kumpeleka mara moja.
Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.
Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.
Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.
Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.
Wabillahi Tawfiq 🙏
Niwatakie Alhamis Njema.
Kwa hiyo nchi isiwe nao ?!!khaaaMtoe huko haraka kabla ile laana ya kuendekeza rushwa, kuua, kutesa, kubambikia watu kesi, kufanya vitendo vya kihalifu akiwa na sare, nk. haijamuingia mwilini mwake.
Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.Polisi ni miongoni mwa makundi maskini zaidi Tanzania
Kwahiyo ndio kusema ni kazi inayohitaji vilaza?Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.
Ndo maana walio kule wengi wao ni wenye D2 Hakuhitaji akili nyingi saaana kuwa kule zaidi ya kuwa mjinga wa kiwango cha lami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanajeshi Luteni acha dharau... huko uliko unaweza kustaafu na bado "mema" wakala "... zile rank tukufu tu"...Polisi ni miongoni mwa makundi maskini zaidi Tanzania,Hivi mkuu hivi Police Constable ana vuta ngapi?
Mimi sio Luteni mjomba sijafika huko lakini trust me nina marupurupu mazuriM
Mwanajeshi Luteni acha dharau... huko uliko unaweza kustaafu na bado "mema" wakala "... zile rank tukufu tu"...
Wewe unalamba stahk za kuwazd hao kwa ".. nature ya kazi yako.. muda w0w0te tu.....!
Karibu CIROC....
ccp sio veta mkuu, asipoteze muda kuja kutumikia makafiri Bora ata and jeshi la wokovukwani akipata mafunzo lazima aajiriwe jeshi la polisi?? mwache apate ujuzi
Ni mtoto wangu,Mzazi anampangia career mtoto huu ujinga utawatoka lini nyie WAZEE?
Najua my dear.Acha kufuru ukhty....
Mad0g0 wanalia huku mitaani...keka limetoka jana na mwaka wa 3 huu HAWAJALAMBA huko akataak0 mwanao.....
Maisha ni vita kila eneo....
Acha hasira za kifukara. Ndoto zako sio lazima ndo ziwe za mtoto. Ungekuwa tajiri ungempa kazi kwenye makampuni yako. Kumtoa huko CCP ni kutaka kumpotezea mwelekeo mwanao. Pia kama hutaki maoni tofauti usiwe unaandika uzi wa mambo yako kifamilia.Ni mtoto wangu,
Nimeingia labour mimi,
Nime-mnya mimi,
Na mimi ndio mama yake mzazi,
Huna nasaba yoyote kwa mtoto wangu na maisha yake kwa ujumla tangu hapa mpaka milele
Mitandao isikufanye kuropoka kila ufikiricho kichwani.
Ukipangia wewe wanao, inatosha.
Usinipangie maisha aisee.
Kwanza naomba usiendelee kunieleza ujinga wako hapa.
Pumbavu wewe.