Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Najua kut0fautisha dada....Umetoka humo na hujui kutofautisha kati ya o na 0 mkuu.
Sitaki mwanangu aende kaka.
Hapana.
Tukana tu mkuu...Una dalili zote za kisoger... Napenda sana watu km wewe... Karibu uje na polisi mmoja.
Keyboard warrior huyo.....Aje nae kama kifungashio kimoja😅
Asante sana kwa maoni yako.❤️Najua kut0fautisha dada....
Well....
Mimi si wa huko dada.. ninashauri tu kuwa maisha ni vita na kuwa nje ya hu0 umwera haina maana ndio "immunity" ya hy0 VITA....hakuna kuzuri sana na hakuna mteremko sana....
0K ukhty I agree to disagree !
Amani !!
Graduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationedCcp wanafundishwa uti kwa mambo ya kipumbavu.
Hakika!Nimeipenda hii
Shukran !Asante sana kwa maoni yako.❤️
Najua ni vyema kuwa mzalendo na kuitumikia nchi yangu ila kuna vitu vichache sana vinavyobadili upepo wa hii nchi, polisi wakiwepo japo wanapata amri toka juu.
Shukrani.
Mkuu una0ngea na ukuta....Graduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationed
Umefanya maamuzi mazuri.Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023
Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.
Majibu ya awali yametoka na najua ataenda tu Chuo cha Upolisi Moshi (CCP) bada ya usaili ila naghahiri kumpeleka mara moja.
Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.
Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.
Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.
Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.
Wabillahi Tawfiq 🙏
Niwatakie Alhamis Njema.
Rudi kasome halafu ufungue zile " na mabano ndio uje kuandika unachodhani.Hapa huyu mama anajifariji tu kwanza majina ndo kwaanza yametoka ya usaili halafu unakuja kudanganya watu hapa kuwa amefaulu, yaani ndo kwanza mambo bado na hata huko CCP anaweza hata asikanyage
Huo ni utumishi wa umma, unachosema si kweli, tuna polisi wengi wako desatsfied na status quo kama ilivyo watumishi wengine. Kuna faida kuwa mtumishi wa umma ila usiwe involved na hizo feelings na sympathy, zinazotokana na diversity ya ideologies za watu wengineCcp wanafundishwa uti kwa mambo ya kipumbavu.
Mkuu una0ngea na ukuta....
Huyo keyboard warrior yuk0 na andasi ya mk0kaa.....
Kumbe Daktari aliyeajiriwa polisi analipwa mshahara mdogo kuliko mwalimu?Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.
Ndo maana walio kule wengi wao ni wenye D2 Hakuhitaji akili nyingi saaana kuwa kule zaidi ya kuwa mjinga wa kiwango cha lami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahah ume-edit hahahRudi kasome halafu ufungue zile " na mabano ndio uje kuandika unachodhani.
Siyo kweli, analipwa kinachostail kwa rank na seniority yake, like wise ktk utumishi wa umma, graduate doctor anapoanza kazi anakuwa na mshahara mdogo kuliko senior or principal diploma holder (nurse) aliye mkuta kazini.Kumbe Daktari aliyeajiriwa polisi analipwa mshahara mdogo kuliko mwalimu?
bora aende jkt Kama ni hivyo ,kuna ukakamavu gan uko zaidi ya ugaigaiHiyo kozi hawajifuzi ukakamavu pekee, usiwe biased for political reasons/ideology, kama yupo chuo acha amalize kozi, ni muhimi kwa CV yake hata kama hatalitumikia jeshi la polisi unalolichukia
Kwani kuenda CCP si ni lazima awe ameshapita JKT?bora aende jkt Kama ni hivyo ,kuna ukakamavu gan uko zaidi ya ugaigai
Polisi ni hovyoo wala sio Kazi!Huo ni utumishi wa umma, unachosema si kweli, tuna polisi wengi wako desatsfied na status quo kama ilivyo watumishi wengine. Kuna faida kuwa mtumishi wa umma ila usiwe involved na hizo feelings na sympathy, zinazotokana na diversity ya ideologies za watu wengine