Polisi 4 form ndio kigezo... Hakuna mwenye tofauti na hiyo... Huoni hata akili zao ni za kifofofooofoooooo aseeGraduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationed
We ng'ombe nakupigia hupokei na polisi wako.Tukana tu mkuu...
Narudia kusema wewe ni dhaifu...endelea tu kula VEVE ya nn shari keyboard warrior?!!
Shari huiwezi wewe na angalia tu USIJE KUSILIBWA astr0glide.....ha ha ha
Wewe mtoe tu. Hakuna haja ya kutangazia umma.Sidhani kama mama yake nitakuwa na upendo nae tena.
Najua kule kuna vitengo mbalimbali.
Ila jina Polisi ndio sitaki kulisikia.
Sijui wa Usalama barabarani, FFU, sijui kulinda Raia, Hapana.
😂😂Yani uajiriwa kama Daktari alafu ulipwe kwa Rank🤣🤣Siyo kweli, analipwa kinachostail kwa rank na seniority yake, like wise ktk utumishi wa umma, graduate doctor anapoanza kazi anakuwa na mshahara mdogo kuliko senior diploma holder (nurse) aliye mkuta kazini.
SadJamaa wana maisha magumu ila ni majasiri kuipigania CCM
Japo sijui kingreza niongezee very kwenye neno sad
Yeah, indeed!Japo sijui kingreza niongezee very kwenye neno sad
Haya sawa😁Sio kuutangazia umma.
Kuna mtu nimemlenga hapa
Pangilia uongo wako vizuri basi. Kuitwa kwenye usaili ni jambo moja na kutokea kwenye mkeka wa kupiga timamu CCP ni vitu viwili tofauti.Ni connection tu.
Punguza hasira
Ameshapasi kuitwa kwenye usaili.
Kama huna connection wala D mbili huwezi elewa post yangu inahusu nini ninachomaanisha.
Au unadhani ule usaili wa TRA hakuna wahusika ila wanaita wengi ili kupoteza ushahidi?
Kaa hivyo hivyo na nadharia yako hii
Angalia mkeka wa walioitwa kwenye usahili ndiyo utaelewa Jeshi limefikia kwenye viwango gani kwasasa.Hebu lete vyeti vya polisi mwenyew dvs 2 hapa!!.
By that time wajinga na waliofeli na mijtu yenye ufinyu wa fikra ndio walikuwa wanapelekwa hizo course!. Kazi ya polisi ni ya watu wasio na akili tu.... Umeona wenye akili kina PETER MADELEKA waliukataa. Yaani mtu na akili zako unaweza kulazimishwa kua mtu asiye na hatia ukakubali tu kisa mshahara wa 300k per month?.
Siyo kila polisi ni wa hovyo, watu wa hovyo wako kila sekta na hata kila Chama cha siasa na tasisi za dini. Dont generalize because of your personal experience/grudgesPolisi ni hovyoo wala sio Kazi!
Basi tuliza kitobo chako cha nyuma na uwe msoma mada za wenzio wenye D 2.Pangilia uongo wako vizuri basi. Kuitwa kwenye usaili ni jambo moja na kutokea kwenye mkeka wa kupiga timamu CCP ni vitu viwili tofauti.
Hata kama ni connection unadhani asipoenda kijana wako kozi zitaahirishwa na Jeshi litaacha kufanya kazi zake?
Kwani kuitwa kwenye usaili ndo kufika Ccp? Unaweza ukaitwa kwenye usaili na Ccp usikanyage.Ni connection tu.
Punguza hasira
Ameshapasi kuitwa kwenye usaili.
Kama huna connection wala D mbili huwezi elewa post yangu inahusu nini ninachomaanisha.
Au unadhani ule usaili wa TRA hakuna wahusika ila wanaita wengi ili kupoteza ushahidi?
Kaa hivyo hivyo na nadharia yako hii
Soma between lines ndipo utaelewa.Kwani kuitwa kwenye usaili ndo kufika Ccp? Unaweza ukaitwa kwenye usaili na Ccp usikanyage.
Kwanza waliotuma maombi ni watu 46,000+ wakati polisi wenyewe walipo kazini sidhani hata kama wanafika 50,000 kwahiyo idadi ya walioomba kazi wanakaribiana na idadi ya waliopo kazini , kwa wingi wa watu wanaohitaji hiyo kazi sidhani kama polisi wanamuhitaji huyo mtoto wako
bora aende jkt Kama ni hivyo ,kuna ukakamavu gan uko zaidi ya ugaigai
uko sahihi lakini kama atapanda ranks e.g rank ya commisioner mshahara na incentives ni mkubwa kuliko mtu mwenye masters ya MD ambaye si polisi, so ranks matters na elimu inasaidia kukwea hizo ranks effortlessly😂😂Yani uajiriwa kama Daktari alafu ulipwe kwa Rank🤣🤣
Wameshafanya marekebisho. Askari mpya ambaye kaajiriwa kama Daktari anakula 1.5M. Nadhani ni sawa na mshahara wa Daktari wa Wizara.
Nisome between lines uzi wa kilaza asiejua kupangilia uongo wake? Watu hata usaili hawajafanya unasema mtoto wako kafaulu kwenda Ccp au umekurupuka ulivyoona tangazo la watu kuitwa kwenye usaili ukapata na wazo la kuleta uzi wa uongo kutafuta attention ukidhani ndo wameitwa kuanza mafunzo?Soma between lines ndipo utaelewa.
Usicomment kwa mihemko wewe CCM