jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 257
Habari zenu!!
Naombeni msaada wenu wa hasa kwa wanaoelewa zaidi, mm ni msichana mwenye kufanya shughuli zangu kati ya Tanzania na Zambia,usafiri ninaotumia kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni bas,na kutoka dar mpaka Lusaka ni kilomita 2050 kwenda na kurudi ni hivyo hivyo, kwa mwezi mmoja naweza nikasafiri hata mara nane, kwahiyo nilikuwa naomba kujua kwa hali hii naweza kuapata tatizo lolote la mgongo? au naweza nikafanya nini ili nisiweze kupata tatizo lolote la kiafya?