Kwa hali hii naweza kupata tatizo la mgongo??

Kwa hali hii naweza kupata tatizo la mgongo??

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
257
Habari zenu!!
Naombeni msaada wenu wa hasa kwa wanaoelewa zaidi, mm ni msichana mwenye kufanya shughuli zangu kati ya Tanzania na Zambia,usafiri ninaotumia kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni bas,na kutoka dar mpaka Lusaka ni kilomita 2050 kwenda na kurudi ni hivyo hivyo, kwa mwezi mmoja naweza nikasafiri hata mara nane, kwahiyo nilikuwa naomba kujua kwa hali hii naweza kuapata tatizo lolote la mgongo? au naweza nikafanya nini ili nisiweze kupata tatizo lolote la kiafya?
 
Jaribu unapofika huko Lusaka uwe unatembea sana kwa miguu na kunywa maji ya Uvugvugu glasi 2 kila siku

asubuhi kabla ya kula kitu na ukae kama dakika 45 kisha waweza kula chakula na mchana ufanye hivyo hivyo unywe

tena glasi 1 ya maji ya uvuguvugu na ukae kama dakika 45 kisha waweza kula chakula chako cha kawaida na usiku pia

fanya hivyo kila siku ukiwa upo Dar au lusaka ukisha fika pendelea kutembea kwa miguu hiyo itakufanya mwili

wako uwe na afya nzuri huo ndio ushauri wangu.@jaqfantasy212
 
Habari zenu!!
Naombeni msaada wenu wa hasa kwa wanaoelewa zaidi, mm ni msichana mwenye kufanya shughuli zangu kati ya Tanzania na Zambia,usafiri ninaotumia kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni bas,na kutoka dar mpaka Lusaka ni kilomita 2050 kwenda na kurudi ni hivyo hivyo, kwa mwezi mmoja naweza nikasafiri hata mara nane, kwahiyo nilikuwa naomba kujua kwa hali hii naweza kuapata tatizo lolote la mgongo? au naweza nikafanya nini ili nisiweze kupata tatizo lolote la kiafya?

Du kwa mwezi mmoja unaweza kusafiri Dar Lusaka mara nane, my dear for your health just reduce safari hizo ama kama uwezo upo basi kama ni lazima ufanye hizo safari nane hakikisha atleast nusu ya hizo safari yaani namaanisha safari nne utumie usafiri wa anga otherwise hapana bwana ni nyingi mno.Yaani hata kama ni hapo Mbeya tu kwa mwezi mara nane ni hatari kwa afya yako na pia upo kwenye risk za ajari za barabarani
 
Back
Top Bottom