Kwa hali hii, naweza kuwa na Ugonjwa gani?

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Nimetoka hospital jion hii wameniambia sina gono bcz ningekua nalo ningekojoa uchafu wameniambia nisubri siku saba dawa zifanye kazi.

Kwasasa nina maumivu kwenye sehem ya juu ya mjubelege yaani hapa kwenye nywele za siri.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒyani ww jamaa huko chuo husomi unapambana na afya ya uchi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…