didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Nimetoka hospital jion hii wameniambia sina gono bcz ningekua nalo ningekojoa uchafu wameniambia nisubri siku saba dawa zifanye kazi.
Kwasasa nina maumivu kwenye sehem ya juu ya mjubelege yaani hapa kwenye nywele za siri.
Kwasasa nina maumivu kwenye sehem ya juu ya mjubelege yaani hapa kwenye nywele za siri.