Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Natafuta mtoto/ndugu aje pale afanye vurugu sana (akidai amepata taarifa nyumba inauzwa na hajashirikishwa) kisha anaenda chap mahakamani kufungua kesi kuwa nyumba ina mgogoro isiuzwe kwanza.Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.
Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba akasema yeye atainunua kwa tsh mil150..madalali wakamuambia mzee sisi hio mil 2 usitupe.
Cha msingi wewe chukua chako ulichosema unakiuza mil125 tuachie... Sasa wapo wanaosema mzee kaleta tamaa je wewe ungechukua kinachokuhusu au ungevunja biashara?