Huyo anaweza kuwa anatoka sehemu ambayo msosi sio wa uhakika so ametengeneza tabia ya ulafi na uroho. Nakumbuka nilishawahi kudate na sampuli ya namna hiyo.
Unamuwekea apike nyama, aisee ni anaonja robo nzima inaishia jikoni kwenye muonjo. Hadi ikifika mida ya kuandaa msosi kwenye hotpot mchuzi na viazi ndio vingi kuliko nyama na bado anakuzidi kete kwenye kuchota anachukua vipande vingi hadi aibu unaona wewe mwanaume.
Halafu kalikuwa soda kanakunywa kushinda maji. Lile chupa la lita 2 la coca-cola analichapa lote mwenyewe bila kuvunga. Nikinunua takeaways wakati wa kusepa ataondoka na chupa mbili. Moja atafungua nyingine anaweka kwenye pochi.
Niliweka zile cereals [emoji3046] za Coco pops aisee alikuwa anazitandika kama hana akili nzuri. Yaani ilikuwa ni anazichakaza box mbili zikaisha ndani ya siku tatu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mademu wanaojua kupeleka puani si mchezo babu. Wanazidi hadi wanaume.