Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watanzania tumeendelea kuishi maisha ya kutojua kesho yetu kwa zaidi ya miaka 59 ya uhuru.
Barabara mbovu sana hasa huku kwetu vijijini,maji taabu sana huku vijijini,dawa hakuna, shule ndiyo balaa kabisa ikinyesha mvua watoto wanajuta kwenda shuleni.
Alafu leo tupoteze muda wetu kwenda kuichagua ccm?
Hapana wacha tuichague cdm ili nao tuone uongozi wao na kama nao watatufanyia unyama kama wa ccm nao tunawakataa.