Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhZeeeeeeee ziiiiiiiiiiiiii
Kiki zenu zote zimebumaaaaWewe ndiyo upo mtupu tu
Tumrudishe Kikwete tulikuwa tunapiga hela na maisha yalikuwa mazuri, tumchague mtu ambaye tuna hakika kitu gani kitatokea kwa kuwa alikwisha kutuonyesha.Kura zangu na Ukoo wangu wote kwa ni kwa mtukufu Raisi Tundu Lissu.
Lissu akishinda atamfanya Mzee Kikwete awe mshauri wake namba mojaTumrudishe Kikwete tulikuwa tunapiga hela na maisha yalikuwa mazuri, tumchague mtu ambaye tuna hakika kitu gani kitatokea kwa kuwa alikwisha kutuonyesha.
Ccm mwaka huu mjiandae kuungana na wenzenu kina KANU na UPCMnaokoteza okoteza vipicha vya mtandaoni ! Acheni propaganda za kipumbavu !. Tuambie hapo ni wapi Tanzania?. Mmeishiwa hoja mnaanza kuweweseka !. Tafuteni hoja za maana za kuitoa ccm madarakani sio viroja kama hivi!.
Nashangaa wakamzuia mzee wetu Hashim Rungwe na moto wake wa UBWABWAUchumi wa kati , serikali ya viwanda my foot , CCM wapo kwenye goleni katika moja ya viwanda vya awamu ya tano .View attachment 1597361
Wapinzani ni watanzania kama we we,wana haki sawa na wewe,ila nyie ccm mnawaona wapinzani sio watanzania.Watanzania wanafahamu kuwa wapinzani ni wachimia tumbo na wameshawakataa kitambo sana
Atafundishaje hata lugha ni changamoto?Wengine warudi kwenye fani zao za kuchezea chaki
Atapangiwa kazi na Mkea mkuuSasa tumpatie kazi gani?
Kitambulisho cha machinga hakina jina hakina picha yako, utaombeaje mkopo? StukaaaaMnaokoteza okoteza vipicha vya mtandaoni ! Acheni propaganda za kipumbavu !. Tuambie hapo ni wapi Tanzania?. Mmeishiwa hoja mnaanza kuweweseka !. Tafuteni hoja za maana za kuitoa ccm madarakani sio viroja kama hivi!.