Anatosha kutuvusha kwenye mateso tuliyo pewa na ccmNan mwingineView attachment 1596867
Inawezekana washauri wake wanamdanganya sana ili mradi mikono yao iende kinywaniCcm walijisahau sana. Korosho zimekaa kwenye magunia mpaka zimeota. Mimi nafikiri magufulu hakujipanga kuomba kura alifikiri atasalia madarakani bila kupigiwa kura/kufanyika uchaguzi. Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu anayefahamu kuna kesho yakuomba kura, asingefanya ukorofi wa magufulu
Kudadadeeki yaani hata korosho hujui ni za kutoka wapi? Kweli mmechanganyikiwaMnaokoteza okoteza vipicha vya mtandaoni ! Acheni propaganda za kipumbavu !. Tuambie hapo ni wapi Tanzania?. Mmeishiwa hoja mnaanza kuweweseka !. Tafuteni hoja za maana za kuitoa ccm madarakani sio viroja kama hivi!.
Zeeeeeee,ziiiiiisiiiiiiiiii
Hapendwi mtu ni vision na implementation. Chakusikitisha huku bara wakati chama kikongwe tulichotegemea kufa kifo cha mende miaka ya 2010 hadi 2015,kimetoka ICU na sasa kimegeuka front runner wa mageuzi yaliokuwa yanahubiriwa na Chadema miaka hiyoWatanzania tumeendelea kuishi maisha ya kutojua kesho yetu kwa zaidi ya miaka 59 ya uhuru.
Barabara mbovu sana hasa huku kwetu vijijini,maji taabu sana huku vijijini,dawa hakuna, shule ndiyo balaa kabisa ikinyesha mvua watoto wanajuta kwenda shuleni.
Alafu leo tupoteze muda wetu kwenda kuichagua ccm?
Hapana wacha tuichague cdm ili nao tuone uongozi wao na kama nao watatufanyia unyama kama wa ccm nao tunawakataa.View attachment 1596855View attachment 1596856View attachment 1596860
Hizo ni ngonjera alizokuwa zinaongozwa kuimbwa na Wasira miaka ya 2011,sasa hivi zimesha chujaHatu
Hapendwi mtu ni vision na implementation. Chakusikitisha huku bara wakati chama kikongwe tulichotegemea kufa kifo cha mende miaka ya 2010 hadi 2015,kimetoka ICU na sasa kimegeuka front runner wa mageuzi yaliokuwa yanahubiriwa na Chadema miaka hiyo
Opposition wamekumbwa na kirusi kibaya,kuna walakini wa kutoaminiana ,mifarakano ya mitazamo kati ya wanaharakati wa siasa kali ya kizazi kipya na wale wanaharakati tuliowazoea.
Baada ya Uchaguzi kuna uwezekano wa kuanzishwa vyama vipya vya vijana wa maendeleo .
Huna loloteKiswahili na kidhuungu vyote kwenu ni sheeda