Leo napitia habari za kimataifa naona Rais alieshindwa mwenye box la kura wa chama cha Podemos anaye itwa VENANCIO MONDLANE amerudi kutoka uhamishoni alipokuwa akihutubia wananchi kwa njia ya YouTube na wananchi wana fuata kila alichokuwa akisema.
Huyu jamaa sijui nani yupo nyuma yake anajiamini kupitiliza nadhani hii Dhana yake chadema wangeifutilia vya kutosha.
Jamaa hana wasiwasi na kifo kutoka chama tawala cha FRELIMO. Jamaa anawafuasi loyal sana hawajawai kupinga anachosema.
Mozambique soon inaenda kuwa jangwa kwa njaa inayowakuta. Mafuta yamekuwa shida kupatikana raia wabakimbia nchi jirani. Wageni wengi wamepata hasara kwa vurugu zilizokuwa zinaendelea.
JAMAA ALIVYOKUWA CHENGA KAJIAPISHA MWENYEWE LEO NA AMESEMA IWAPO FRELIMO WATAMUAPISHA CHAPO TAR 15 MWEZI HUU BASI MOZAMBIQUE ITAKUWA NA MARAIS WAWILI
Mimi nilikuwa nadhani kwanini asikubali kushindwa ili nchi iwe salama
Ila wenyewe wanasema hawataki tu rais kutoka frelimo na wapo tayar kwa lolote. Tuwaombeee majirani zetu Mozambique a luta continua.
Lakin kwa nini frelimo (ccm) wasikubali kuwa wamechokwa ili upinzani ushike nchi kwani mpaka kila mwaka wale wao.? Maisha ni kupokezana kila mtu apate.
Yote kwa yote wanao pata madhara zaidi ni wananchi mana ndio wanakufa sana, hali mbaya mno. Waafrica bado tuna laana katika suala la ulaji.