- Thread starter
- #21
Hata hilo jeshi nadhani kuna baadhi yao wanaona kama frelimo wanazingua tu. Alafu watu wa kule wameaumbwa kutiii mamlaka kwa wanaemtakaKama jeshi lipo upande wa serikali (nadhani uliposema serikali you meant Frelimo ) then uchaguzi ulikua wa nini? Unapotangaza uchaguzi tafsiri yake ni kwamba upo tayari kushinda na kushindwa pia; jeshi linaingiaje hapo? Hilo moja, hivi unafahamu Ureno inafaidi sana matunda ya Msumbiji kuliko wananchi? Kama jeshi linaunga mkono jambo hilo, maanake yake jeshi lao linaunga mkono nchi kuendelea kunyonywa, yaani kuigawa keki ya taifa kwa Ureno and may be one of the reason why wananchi wameikataa Frelimo? Kwa jeshi kuunga mkono hayo, maanake wanawadharau wapigania Uhuru kina Mondlane, Samola Machel nk?