Kwa hali hii ya kugombania madaraka, muda si mrefu Msumbiji inakuwa kama Somalia

Hata hilo jeshi nadhani kuna baadhi yao wanaona kama frelimo wanazingua tu. Alafu watu wa kule wameaumbwa kutiii mamlaka kwa wanaemtaka
 
Bora angeendelea kukaa huko mafichoni kama kweli karudi basi ni suala la muda tu Kwa akili za viongozi wetu wa Africa zilivyo chenga watamuua tu
 
Watanzania tunalakujifunza.Tuache uoga wa kudai haki tunazopikonywa na Hawa ccm.2025 tuitoe ccm Kwa nguvu kama wanavyofanya wanamsumbiji.
Hao wenzako kupigana ndio asili yao, mreno katolewa kwa bunduki hapo maelfu ya watu walikufa acha wew uliepewa uhuru wenzko waliupigania,hvo hawaogopi kupigana.

Nchi yyte iliyopata uhuru kwa kupigana wanaheshimiana sn ukizngua wanakuzingua na ndio nchi zilizoendelea kwa hapa africa. Ona Angola,s, Afrika, Algeria,kenya, n.k
 
Ukisema hvo unakosea mbna tunaona nchi zingine vyama ambavyo ni pinzani vinachukua nchi kwa aman tu. Ona Amerika hata uingereza.

Tatzo sisi waafrika waroho wa madaraka na umaskini ndio unaotutesa zaidi,tumegeuza ofisi km mashamba ya kuchukua utajjr
 
Nyerere alisababisha watanzania kuwa waoga.maana alipewa uhuru Kwa kuonewa huruma na siyo kuwalazimisha na kutumia nguvu dhidi ya wazungu.Inabidi tuwe majasiri ili kuuondoa huo uoga.
 
Yote tisa Mimi ninachotaka waturudishie KYONGA TRIANGLE (Rasi ya Kionga kusini mwa maingilio ya Mto Ruvuma upande wa kusini).
 
Nyie ndo mnaitwa keyboard warriors..mkiambiwa muandame mnaogopa utageuzwa Deus soka 🤣
 
kwani mpaka kila mwaka wale wao.? Maisha ni kupokezana kila mtu apate.
Upo sahihi sana mkuu. CCM ndio watakaokuja kuiingiza Tanzania katika machafuko makubwa sana wapuuzi wale.

Nchi ni zaidi ya Chama Cha Siasa..
 
Yote kwa yote wanao pata madhara zaidi ni wananchi mana ndio wanakufa sana, hali mbaya mno. Waafrica bado tuna laana katika suala la ulaji.
Wanasiasa wakubwa wa CCM na CHADEMA watakimbiza watoto wao nje ya nchi, kisha balaa litabaki kwetu sisi masikini walalahoi..
 
Huzijui serekali za Africa wew waulize Kenya wale waandamiz wa maandamano wako wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…