KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuvuka hasa siku za kazi nyakati za asubuhi huwa kero ya kurundikana na kusubirishana mda mrefu ni kwngi, jitahidi uwe unawahi zaidi ili usichelewe unakoelekea.
 
Poleni, bakhresa jioni anaingiza milioni 5 yake bila wasi wasi, hayo ndio mambo ya nchi kufunguka.
 
Mizimbini, Mikwambe, Kisarawe 2.
Dar joto ni lilelile. Fukuto likiwa juu hakuna escape plan. Wote moto.
Nitaftie chumba mkuu mazingira hayo cha 15, lakini joto inatokana na msongamano kuwa mkubwa. Kisarawe tu hakuna msongamani
 
Nitaftie chumba mkuu mazingira hayo cha 15, lakini joto inatokana na msongamano kuwa mkubwa. Kisarawe tu hakuna msongamani
Kuna kitu inaitwa fukuto (humid climate) haina cha msongamano. Sasa kipindi hii fukuto liko juu sana mpaka 84%. Wote tunaisoma namba.
Kwa sasa siendi KG ila ukitembea hukosi vyumba. Kwa kero ya kivuko bado unapataka?
 
Back
Top Bottom