KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hapo mpaka siku wafe maelfu ya watu ndy serikali watashtuka

Ova
 
Kuna kitu inaitwa fukuto (humid climate) haina cha msongamano. Sasa kipindi hii fukuto liko juu sana mpaka 84%. Wote tunaisoma namba.
Kwa sasa siendi KG ila ukitembea hukosi vyumba. Kwa kero ya kivuko bado unapataka?
Watu hawajua kwamba bahari za ukanda wa joto zinatema joto usiku.
 
mkuu ukiwa na haraka sana plus mishe ya muhimu ni bora ukazunguka darajani
 
Watu hawajua kwamba bahari za ukanda wa joto zinatema joto usiku.
Wengi hawajui hilo 😃 wanadhani ishu ni msongamano. Humidity level kwa sasa iko juu sio poa plus na temperature inacheza 28-30°C. Ni kamzozo kwa kweli.
 
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Mlaani Professor Tibsijuka,aliwatspeli kuwa kutakuwa city. Kumbe ni Kijiji Kiko mjini
 
Kuna kitu inaitwa fukuto (humid climate) haina cha msongamano. Sasa kipindi hii fukuto liko juu sana mpaka 84%. Wote tunaisoma namba.
Kwa sasa siendi KG ila ukitembea hukosi vyumba. Kwa kero ya kivuko bado unapataka?
Napitia darajani tu
 
Mlaani Professor Tibsijuka,aliwatspeli kuwa kutakuwa city. Kumbe ni Kijiji Kiko mjini
Nikishaambiwa kwamba huku kuna mradi wa serikali, wahi viwanja, nakuwa makini sana! Kigamboni watu walikimbilia huko kwa Fiksi za mama wa vijisenti. Bagamoyo watu wakaambiwa bandari inakuja ya kimataifa..watu wakanunua viwanja kama hawana akili nzuri. Lindi na Mtwara wakaambiwa kuna uchumi wa gesi, watu wakakimbilia huko kununua viwanja na kujenga mahoteli. Chato mzee mzima akaifungua, watu wakakimbilia kununua plots....mwisho wa siku, kote huko hiyo miradi ni vumbi! Hakuna la maana linaloendelea.

Kigamboni nilipakataa tangu nilipopata uwezo wa kununua plot mjini. Maendeleo ya kule ni ahadi za kisiasa!

Ukiambiwa wahi huku kuna fursa, kuwa makini sana. Inawezekana fursa ni wewe.
 
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Mkuu pole Ila kwa uzoefu mimi nimepanga nyumba nane tofauti hapo daslam nilichojifunza
Hakuna sehemu isyo na changamoto.
Daslam kimsingi tu angalia faida unazozipata basi

Kama huwez hizo Kashi njoo mkoani mimi nije huko magogoni🤣nile upepo wa mikadi
 
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Hivi lile daraja la nyerere halifanyi kazi
 
Back
Top Bottom