sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu.
Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia.
Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo.
Inasikitisha kuona nchi inaharibibwa kumfurahisha mtu mmoja