Land cruiser Prado
Senior Member
- Apr 24, 2021
- 118
- 265
Man i got to know you. I think the sameNisipokufa nitakuwa na CPL kabla ya 2030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man i got to know you. I think the sameNisipokufa nitakuwa na CPL kabla ya 2030
Urubani sawa na udereva wa gari tu hata dv 4 unapata nafasi ya kusonea pilot, maana kila kitu utaenda kufundishwa frm scratch, ukifeli mitihani yao ndo utaona ugumuNina bachelor degree ya social science ndio .nishafanya research ndugu sio lazima uwe genius wa math au physics ila just ujue fundamentals za math na physics na kinacho matter ni ENGLISH language na medical certificate kuanzia class 3 kukupima auna any mental of physical abnormalities ... Bachelor degree ya social science haitonizuia kusomea urubani. Kwa hiyo naamini Mungu ni mkubwa atanifanikishia hata kama n miaka kadha ijayo
MÊmENtO HoMO
Kwema wadau na wanajamvi wote humu? natanguliza salamu.
Ni matamanio yangu kama mwanadamu tokea nikiwa mdogo kuingia kwenye hii career ya kurusha ndege. Nikasema anyway, nikimaliza chuo (nilimaliza mwaka jana B. Degree in Social Science), nikipata kazi nitadunduliza kidogo kidogo ndani ya hata miaka miwili nisomee hata leseni ya PPL (Private Pilot Picense) na CPL (Commercial Pilot Licence) hapo terminal one kwenye chuo cha Mosswood Dar es Salaam, ila my expectations kwa hali ya upepo ilivyo naona my dreams are faded away.
Hii inanipa sana stress muda mwingi. Nikiwaza ajira rasmi sina naishia kujilaumu na self guilt. Hapa nawaza kwa hivi vibarua vya kuunga unga vya shambani na ujenzi (japo ni za msimu) nijikusanye tu nisomee tu udereva lakini nikiangalia home na life lilivyo naona bado hali hairuhusu maana ndio inabidi nijitutumue kumpiga mother tafu(single mother) na wadogo zangu ambapo mmojawapo anatarajia kujiunga kidato cha tano muhula huu wa 2021/2022.
Nikisema niwatonye ndugu naona tu ni miyeyusho maana wengine hawakutaka niende hata chuo. Hivyo inabidi tu niugulie ndani kwa ndani tu labda kwa kujifariji tu inanibidi niwe naingia JF kusoma post za kina Mshana Jr ,ROBERT HERIEL na members wengine ili ku-gain tu chochote kwenye akili kama tiba ya stress.
KAMA WADAU WA MTANDAO WA JF,
Mnanishaurije mimi ndugu yenu maana mimi kama kijana sitaki ndoto zangu zife kizembe ilihali nina nguvu?
Nimeona kuwashirikisha humu ili nione lolote mtakaloniambia nichukue ushauri wenu (unaofaa pasipo kuvunja sheria).
Natanguliza shukurani zenu kwa dhati.
Doh ilikuwa mwaka gani maana hii kama niliisikia..ndugu yangu kama kwenu pesa hakuna itakuwa ngumu .dogo tulisomesha tukatumia zaidi ya milioni 200 mpaka kufikia uwezo wa kuenda boeing zile kubwa na mwisho wa siku tukaambulia jeneza alipata ajari ya ndege ndogo akikaguwa wanafunzi wenzake south africa akiwa chuo .Ila na kupa moyo
Doh ilikuwa mwaka gani maana hii kama niliisikia..
Poleni sana
Unamzungumzia Kelvin mtoto wa beni-bazaa Bukoba my homie au?ndugu yangu kama kwenu pesa hakuna itakuwa ngumu .dogo tulisomesha tukatumia zaidi ya milioni 200 mpaka kufikia uwezo wa kuenda boeing zile kubwa na mwisho wa siku tukaambulia jeneza alipata ajari ya ndege ndogo akikaguwa wanafunzi wenzake south africa akiwa chuo .Ila na kupa moyo