Kwa hali ilivyo ni dhahiri Boniface Jacob atashidwa vibaya sana kwa fedheha uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Pwani

Afu huyu jamaa ni Lucas mwashambwa
 
mchungaji ni mhuni kuhama Kwa sababu ya kushindwa ni kuchukulia chama kuwa duka binafsi.
 
Huna akili masta.
 
Attachments

  • 20240803_133809.jpg
    76.4 KB · Views: 2
mchungaji ni mhuni kuhama Kwa sababu ya kushindwa ni kuchukulia chama kuwa duka binafsi.
na huyu muungwana pia nyuma ya kamera kwenye mazungumzo ya kawaida, alisikika akidai asiposhinda uchaguzi huu,

"mbona kuna vyama vya siasa vingi tu humu nchini"? hii ilimaanisha nini kwa mfano, licha ya kua alikuja kurekebisha mbele ya kamera?🐒
 
asiposhinda uchaguzi huu, mbona hukusema atahamia ccm,hao wanao hamia ccm wanajua watakuwa waenezi wa ccm bila uteuzi kama tunavyoona.
 
Jibu Swali,wanaokutuma wanaangalia ulivyo mwepesi kukimbia hoja.
ni uonevu kutag watu ambao hawawezi kuthubu kueleza chochote dhidi ya uchaguzi wa kanda ya Pwani kulingana na ushirika wao kwenye eneo lafitna za uchaguzi..
usiwaweke watu kwenye wakati mgumu Tafadhali 🐒

jambo lingine Muhimu zaid,
kuja hapa na majibu yako mfukoni itakuumiza zaid kisaikolojia coz this is politics 🐒
 
asiposhinda uchaguzi huu, mbona hukusema atahamia ccm,hao wanao hamia ccm wanajua watakuwa waenezi wa ccm bila uteuzi kama tunavyoona.
hiyo si inakuaga conclusion au last option kisiasa baada ya nyingine zote kubuma 🐒
 
Mwepesi kupaniki nankutishia eti Afisa wa Serikali 😂
Mwepesi tu huyo Chawa wala asikutishe ana vinasaba na Lucas mwashwambwa,

Nakupa patern Asubuh akiwepo huyo humuoni lucas. Hata luch time.
 
Mwepesi tu huyo Chawa wala asikutishe ana vinasaba na Lucas mwashwambwa,

Nakupa patern Asubuh akiwepo huyo humuoni lucas. Hata luch time.
kwahivyo mnatishika na watumishi waandamizi wa umma gentlemen 🤣

actually,
uoga wenu ndio umaskini wenu, acheni woga na kupeana moyo na matumaini kizembe na kirahisi hivyo,

hiyo ni kama ile habari ya pwagu na pwaguzi 🤣

Learn plz learn how to love your leaders not fearing them right?🐒
 
habari
Mwepesi kupaniki nankutishia eti Afisa wa Serikali 😂
habari ya mihemko, ghadhabu, panicking au kuporomosha yale mnayoporomojaga kwa wengine tuna aleji nayo lakini pia hatujui vile mnavyotumiaga kupandisha panic na mihemko mnavopata wap 🤣

so,
mie sihusiki bana na hizo mambo 🐒

vip umekwama kabisaaaa kuignore au kuniblock?

utajikosesha mengi sana kwa mihemko tu
 
Yaan katika watu wasio ogopa vichaa kama wewe ni mimi.
Nilikupiga spana ulipokua huelewi nikakutukana unaelewa.

Mimi Ndio The Legacy.
Afu bado hujanijibu maswali yangu ya msingi niliyokuuuliza wewe malaya wa siasa.
 
🤣🤣 sasa gentleman kwa mfano humu JF kulivyo salama hivi ulikua unaogopa nini hasa?

jambo jengine,
huna sababu hata moja ya majigambo ya aina yoyote ndani ya familia hii muhimu sana na iliyojaa wabobevu wa kila aina, kupuzwa ni mbinu muhimu sana ya waerevu makini kumfanya aliefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kama wew afurahie🤣

kubwa zaidi,
kuja humu jukwaani na majibu yako mfukoni itakutokea puani na kujikuta moyo unakuumaaa tu with nonstop, huku hasira na mihemko ikikuandama vilivyo 🤣
 
Naona Yale maandamano yamekutisha. Imebidi mapepo yako yalipuke kwa kuandika ujinga huu.
 
Nikuhakikishie jambo moja hujafikia level ya kuniambia Kama JF ni salama Au si salama.

Mimi huwa namjibu mtu kulingana na upuuzi wake,na uliponyesha kutojielewa nikakaa kwa level yako lakini pia ukapwaya.
Kifupi hukujibu hata hoja moja nilyoainisha japo wewe ulijiona umejenga hoja.

Angalizo: Epuka Sana kutoa kashfa kwa watu ikiwa huwezi kuzithibitisha pasi na shaka kuwa Chawa wa CCM haimaanishi utakuwa salama daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…