Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu huyu jamaa ni Lucas mwashambwahapo sasa ukiacha hiyo maneno ingine mbofumbofu hapo kati,
ndio unazungumzia maisha halisi ya kidemokrasia yanapaswa kua ila ni Lazima yasiambatane na rushwa, kiburi au majivuno š
ukishinda uchaguzi unashukuru maisha yanasonga, na ukishindwa uchaguzi pia unashukuru unanipanga kwa siku ingine lakini maisha yanasonga vile vile ššŖ
mchungaji ni mhuni kuhama Kwa sababu ya kushindwa ni kuchukulia chama kuwa duka binafsi.una maoni na mtazamo mzuri kumtakia mwingine Baraka..
but ukweli ni kwamba mambo imebadilika kidogo na mwenye ame sense kushindwa, nadhan umeskia kauli ya mtu wa kushindwa kabla ya uchaguzi...
anadai eti hata akishindwa hawezi kuhama chadema, huo ni uthibitisho kwamba tayari ameshindwa kama tu ilivyokua kwa mchungaji msigwa š
Mama alisahau kuweka ndimu.Wewe mCCM ya CHADEMA yanakuhusu nini. Nenda tiktok kaangalie mama akipika.
na huyu muungwana pia nyuma ya kamera kwenye mazungumzo ya kawaida, alisikika akidai asiposhinda uchaguzi huu,mchungaji ni mhuni kuhama Kwa sababu ya kushindwa ni kuchukulia chama kuwa duka binafsi.
asiposhinda uchaguzi huu, mbona hukusema atahamia ccm,hao wanao hamia ccm wanajua watakuwa waenezi wa ccm bila uteuzi kama tunavyoona.na huyu muungwana pia nyuma ya kamera kwenye mazungumzo ya kawaida, alisikika akidai asiposhinda uchaguzi huu,
"mbona kuna vyama vya siasa vingi tu humu nchini"? hii ilimaanisha nini kwa mfano, licha ya kua alikuja kurekebisha mbele ya kamera?š
ni uonevu kutag watu ambao hawawezi kuthubu kueleza chochote dhidi ya uchaguzi wa kanda ya Pwani kulingana na ushirika wao kwenye eneo lafitna za uchaguzi..Jibu Swali,wanaokutuma wanaangalia ulivyo mwepesi kukimbia hoja.
Mwepesi kupaniki nankutishia eti Afisa wa Serikali šAfu ukimbananisha kwenye 18 anacheka Cheka tuu.Sijui ni kifaa cha mshale jamaa.
Hana hoja kabisa mwepesiii
ni uonevu kutag watu ambao hawawezi kuthubu kueleza chochote dhidi ya uchaguzi wa kanda ya Pwani kulingana na ushirika wao kwenye eneo lafitna za uchaguzi..
usiwaweke watu kwenye wakati mgumu Tafadhali š
jambo lingine Muhimu zaid,
kuja hapa na majibu yako mfukoni itakuumiza zaid kisaikolojia coz this is politics š
Mwepesi tu huyo Chawa wala asikutishe ana vinasaba na Lucas mwashwambwa,Mwepesi kupaniki nankutishia eti Afisa wa Serikali š
kwahivyo mnatishika na watumishi waandamizi wa umma gentlemen š¤£Mwepesi tu huyo Chawa wala asikutishe ana vinasaba na Lucas mwashwambwa,
Nakupa patern Asubuh akiwepo huyo humuoni lucas. Hata luch time.
habari ya mihemko, ghadhabu, panicking au kuporomosha yale mnayoporomojaga kwa wengine tuna aleji nayo lakini pia hatujui vile mnavyotumiaga kupandisha panic na mihemko mnavopata wap š¤£Mwepesi kupaniki nankutishia eti Afisa wa Serikali š
Yaan katika watu wasio ogopa vichaa kama wewe ni mimi.kwahivyo mnatishika na watumishi waandamizi wa umma gentlemen š¤£
actually,
uoga wenu ndio umaskini wenu, acheni woga na kupeana moyo na matumaini kizembe na kirahisi hivyo,
hiyo ni kama ile habari ya pwagu na pwaguzi š¤£
Learn plz learn how to love your leaders not fearing them right?š
š¤£š¤£ sasa gentleman kwa mfano humu JF kulivyo salama hivi ulikua unaogopa nini hasa?Yaan katika watu wasio ogopa vichaa kama wewe ni mimi.
Nilikupiga spana ulipokua huelewi nikakutukana unaelewa.
Mimi Ndio The Legacy.
Afu bado hujanijibu maswali yangu ya msingi niliyokuuuliza wewe malaya wa siasa.
Nikuhakikishie jambo moja hujafikia level ya kuniambia Kama JF ni salama Au si salama.š¤£š¤£ sasa gentleman kwa mfano humu JF kulivyo salama hivi ulikua unaogopa nini hasa?
jambo jengine,
huna sababu hata moja ya majigambo ya aina yoyote ndani ya familia hii muhimu sana na iliyojaa wabobevu wa kila aina, kupuzwa ni mbinu muhimu sana ya waerevu makini kumfanya aliefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala kama wew afurahieš¤£
kubwa zaidi,
kuja humu jukwaani na majibu yako mfukoni itakutokea puani na kujikuta moyo unakuumaaa tu with nonstop, huku hasira na mihemko ikikuandama vilivyo š¤£