Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.

Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.

prison 2.jpeg
 
kusubiri uongo je akirudi amekuwa l3sb!an
😳

Hata ikitokea nimefungwa mimi najua atafanya kama kwenye riwaya ya VUTA NKUVUTE
 
Back
Top Bottom