Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
ππUkisafiri tu hawangoji, sembuse kufungwa.
Naenda kumtoaπIkitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
View attachment 3261563
Ni kweli kabisa π πUkisafiri tu hawangoji, sembuse kufungwa.
Miaka 5 na kuendeleaInategemea anakaa jela miaka mingapi
Ikiwa ni miaka 10 je?Inategemea anakaa jela miaka mingapi
Nyie mnangoja!!!Ni kweli kabisa π π
Ndiyo mimi ningekungoja tu πππNyie mnangoja!!!
π π Mbona wapo ambao wanasubiri jamaniNgoja ngoja yaumiza tumbo
Huyu mbona ni kama alimove on fasta tu π