Mda ganiIkitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
View attachment 3261563
Hata nikiona amepigwa buyu na gari napita naondoka zanguNdiyo mimi ningekungoja tu πππ
Swali lingine tena!Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka.
Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
View attachment 3261563
Wewe huyo!!!Ndiyo mimi ningekungoja tu πππ
Safi sana πNilivyo muaminifu nitamsubiriπ₯²
Si tulikubaliana maswali kila siku.Swali lingine tena!
Mimi mpenzi wangu sio mhalifu na haiwezekani kukutwa na hatia katika jambo lolote kwa nature yake.
Ila akufaaye kwa dhiki ndie rafiki.
Maghayo ana gari? Mbona aliniambia ana ndege
Ana kila kituMaghayo ana gari? Mbona aliniambia ana ndege
Daaaah nimecheka πππππHata dada yetu Kajala nae aliwahi kupitia kipindi hiki kigumu.
Maana usipoomba talaka mtaani watakua wanasema.........
View attachment 3261574
Aaanha mpwa, yani bebi wako humsubiri.kusubiri uongo je akirudi amekuwa l3sb!an
π³
Hata ikitokea nimefungwa mimi najua atafanya kama kwenye riwaya ya VUTA NKUVUTE
π π πNitamuhamasisha sana mpenzi wangu mpya awe anampelekea chakula
hahaha unanichonganisha na babe wangu wa JF.Aaanha mpwa, yani bebi wako humsubiri.
Ngoja nimwite Mallerina unayemsumbuaga kwenye replies aje aone tabia zako.
Ukifungwa wewe, atakuvumilia, wanawake wana subira kuliko nyie.