Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa;
CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc……
Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia
Lakini hali ya kushangaza toka TAL aanze kuonesha madudu yaliyopo CHADEMA na baadae kuchukua form ya Uenyekiti upepo umegeuka ghafla………yaani hali kwa ground ni mbaya sana kwa FAM na genge lake
Popote pale linapotajwa jina TUNDU LISSU iwe kwenye daladala,vijiweni,redioni,runingani au mitandaoni kote ata ile ambayo uwa inajulikana ina contents za umbeya umbeya………watu husimama na TAL kuwa anafaa kuwa chairman pale Mikocheni na wanaenda mbali wanasema kuwa kama wasipompa kiti basi wao hawatokaa kushabikia tena upumbavu wa CHADEMA ata iweje na wanamuomba aanzishe ata Chama chake ikibidi
CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko LISSU anavyofanana ihitaji CHADEMA na ili iweze kupata attention kutoka kwa umma basi inawabidi wampe nafasi na si vinginevyo