Kwa hali ilivyo sasa ukipata bilioni, kiongozi mzito wa serikali au idara wakitaka nusu unaweza kukataa ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1)

Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi .

Unatoa wapi nguvu za kukataa ?
 
Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1)

Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi .

Unatoa wapi nguvu za kukataa ?

Samani kidogo ndugu mkata uzi. Siyo kuwa ingekuwa ndugu "mkata switch" ingependeza zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…