Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

Wamehamisha malengo na kuyaelekeza kwenye uelekeo wao. Kila baada ya awamu fulani huja kundi la wahuni wengine.
inamaana hakuna alternative kabisa? 🐒

au alternatives zenyewe ndio hivyo tena halfaholela holela, zipo kama hazipo na wala hazieleweki?🤣
 
Nasisitiza,

Haya majizi Bashe na Mwigulu yashushulikiwe ipasavyo .
maskini comrade Mpina, watu wameanza kumruka na kupita kimya kama wahamuoni vile dah! 🐒
 
kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini,

ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025?

afanye nini, aamue nini, na achukue uelekeo gani kisiasa kwa unavyoona 🐒
alinyanyasa sana wafugaji enzi zile za giza
hana lolote
 
Ushauri wangu kwa Mpina.....

1) Awe makini na vinywaji na vyakula hasa anapokuwa kwenye viwanja vya bunge na vikao vya chama.....

2) Awe anakagua sana gari lake kabla ya kupanda au kuendesha......

3)Abadilishe dereva haraka iwezekavyo kama anaye.......

4) Afanye Sana maombi kwa imani yake na ajikite kwenye ibada........
 
Aendelee kuwapiga spana
Ila awe anakaa mguu sawa
Maana kagusa maslahi ya majizi

Ova
 
Ushauri wangu kwa Mpina.....

1) Awe makini na vinywaji na vyakula hasa anapokuwa kwenye viwanja vya bunge na vikao vya chama.....

2) Awe anakagua sana gari lake kabla ya kupanda au kuendesha......

3)Abadilishe dereva haraka iwezekavyo kama anaye.......

4) Afanye Sana maombi kwa imani yake na ajikite kwenye ibada........
ushauri safi na makini sana wa kiufundi kisiasa gentleman 👊💪

kwamba he must be very careful.

and he must take full control and outhority over each and everything belongs to him, right?🐒
 
Back
Top Bottom