Wamehamisha malengo na kuyaelekeza kwenye uelekeo wao. Kila baada ya awamu fulani huja kundi la wahuni wengine.Chama Cha Wapiganaji au Wapigania maendeleo na Amani ya nchi?π
inamaana hakuna alternative kabisa? πWamehamisha malengo na kuyaelekeza kwenye uelekeo wao. Kila baada ya awamu fulani huja kundi la wahuni wengine.
Nasisitiza,MPINA hutaki hata kumsikia right?π
alinyanyasa sana wafugaji enzi zile za gizakama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini,
ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025?
afanye nini, aamue nini, na achukue uelekeo gani kisiasa kwa unavyoona π
ushauri safi na makini sana wa kiufundi kisiasa gentleman ππͺUshauri wangu kwa Mpina.....
1) Awe makini na vinywaji na vyakula hasa anapokuwa kwenye viwanja vya bunge na vikao vya chama.....
2) Awe anakagua sana gari lake kabla ya kupanda au kuendesha......
3)Abadilishe dereva haraka iwezekavyo kama anaye.......
4) Afanye Sana maombi kwa imani yake na ajikite kwenye ibada........