kwa hali, ni wazi vyombo vingi vya habari vitaichukia Redio Imaan na watangazaji wake

redio imam idhaa ya imani
IDHAATU IMAAN
''ELIMU BILA MIPAKA''
104.4 fm dar es salaam na zanzibar

Mtambo wa kurekebisha tabia
---- naipendaaaaaaaa

saaafi saana! "WAKEREKWAO....."!
 
Ukweli unauma jamani, naona watu macho pima. ikifungwa tu hii radio nchi haitatawalika
 
Saizi Radio Imaan wanampango wa kujitanua zaidi mpaka Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Congo, hii radio ndio mkombozi wetu sisi Waislam.
 
Kweli hii redio kiboko
Nilisikiliza siku moja waislam wanahimizwa wasishabikie vilabu vya manchesta na senali na epl na ligi zote za ulaya wala brazili kwa ujumla maana ni za makafiri

Tena wakadai eti unakuta brazili inacheza na saudia unakuta muislam mzima anashabikia brazili wakati karibu wote ni rc na makafiri unaacha kushabikia saudia wakati wote ni umati wa mohd

Yaani hakuna kushabikia nba wa roger federal maana ni makafiri
Hakuna kushabika usain bolt wala tyson gay maana ni makfiri
Hakuna kushabikia man paciao wala mywhether maana ni makafiri

Yaani nilichoka, ndio maana nasema hii radio ni kiboko
 
hicho kipindi itakuwa kilirushwa kwako pekee! TCRA hupajui?
 
hizi ni radio za kigaidi tanzania, pamoja na radio kuran.....wakiongea wana upeo mdogo sana kama ubongo wa samaki....yaani elimu yao ndogo hadi wanatia huruma....
 
Saizi Radio Imaan wanampango wa kujitanua zaidi mpaka Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Congo, hii radio ndio mkombozi wetu sisi Waislam.

Kenya kuna Tv Africa, iko katika majaribio inapiga Neno kwa Kiswahili " Mungu mmoja, Dini moja"
 
Mara nyingi jamii inayojiona inferior hata wakifanya kitu cha kawaida wanaona ni ushujaa dhidi ya wale wanaowadhania ni superior. Kazi kwelikweli
 
wait a minute...nahitaji tu kupewa mwangaza...yaani inakuwajekuwaje labda radio stesheni (hata kama ni ya serikali) ikifungwa nchi haitawaliki...

how yaani...nauliza tu
 
Kweli hii redio kiboko
Nilisikiliza siku moja waislam wanahimizwa wasishabikie vilabu vya manchesta na senali na epl na ligi zote za ulaya wala brazili kwa ujumla maana ni za makafiri

Tena wakadai eti unakuta brazili inacheza na saudia unakuta muislam mzima anashabikia brazili wakati karibu wote ni rc na makafiri unaacha kushabikia saudia wakati wote ni umati wa mohd

Yaani hakuna kushabikia nba wa roger federal maana ni makafiri
Hakuna kushabika usain bolt wala tyson gay maana ni makfiri
Hakuna kushabikia man paciao wala mywhether maana ni makafiri

Yaani nilichoka, ndio maana nasema hii radio ni kiboko

eeeh bwana eeh...noooma! aisee we really have a long way to go
 
Unajua ukiwa unajua huu niujinga alafu ukaushabikia,ujue unaelekea kwenye kuwa mpumbavu!
 
Radio Imani Mola iwezeshe idumu hata mwisho wa dahari kwani ni msaada mkubwa kwa jamii na inatupatia habari zakweli kabisa na uhakika. Radio Iman ldhaatul Iman( tunawatoa watu katika kiza na kuwapeleka katika nuru kwa idhini ya Mwenyezi Mungu).

nyie komaeni na imani yenu ya kimagumashi ss tunasonga tu kutafuta maendeleo na wala msitulazimishe kuskiliza maana hakuna point tofauti na kurefusha midomo tu. Hiv waislam hakuna mambo ya kimaendeleo ya kuzungumzia tofauti na malumbano tu? Jiiiipaaangeeeee!!
 
Kweli hii redio kiboko
Nilisikiliza siku moja waislam wanahimizwa wasishabikie vilabu vya manchesta na senali na epl na ligi zote za ulaya wala brazili kwa ujumla maana ni za makafiri

Tena wakadai eti unakuta brazili inacheza na saudia unakuta muislam mzima anashabikia brazili wakati karibu wote ni rc na makafiri unaacha kushabikia saudia wakati wote ni umati wa mohd

Yaani hakuna kushabikia nba wa roger federal maana ni makafiri
Hakuna kushabika usain bolt wala tyson gay maana ni makfiri
Hakuna kushabikia man paciao wala mywhether maana ni makafiri

Yaani nilichoka, ndio maana nasema hii radio ni kiboko

Wewe ni kilaza tu! Mbona ikitokea waarab wanacheza na wazungu huwa mnahamia uzunguni? Mfano mzuri ni hapahapa Afrika,wakati Misri-Faraos,Moroco na Tunisia zikicheza na Comeroun,A.kusini,Nigeria nk huwa mnawanyanyapaa waarabu? Tena mnasema na maneno ya kashfa? Acha uzuzu,sisi tunawajueni kuliko ninyi mnavyojijua.
 
Ni redio ya uchochezi kwa kweli. ila mimi napendelea kuisikiliza kwa sababu huwa haipigi miziki.
 
Radio imaan na watangazaji wake ni wachonganishi na wapotosha jamii.

Maria mama wa Mungu utuombe sisi wakosefu
Mama wa Mungu umebarikiwa kuliko wanawake wote !
Salaam Mama Maria umebarikiwa kuliko wanawake wote ......!
 
Kipindi chao kikuu cha uchochezi kinaitwa Dokezi kipo saa T kamili asubuhi chini ustadhi Balozi na shekh mchochezi mohamed issa
 
Back
Top Bottom