Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

nilikutana na hali kama hiyo kwenye zahanati moja pale jiji la nairobi.

yule daktari mkenya hakuwa na simile katika masuala ya kupima ngoma.

alikuwa "strweti fowadi" katika kauli yake....no kubembelezana.

upime au ughairi ni juu yako.yeye wala hajari.
 
Hahaa hizo zama kumbe zimeshapita...siku hizi ukimwi kama typhoid tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi sio Ugonjwa na wala sio kitu cha kuogopa Tiba ninayo ukitaka Dawa ya Ukimwi nione kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Ujumbe mzuri sana ongera sky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanjo ya homa ya ini unaweza kuipata katika hospitali ya rufaa iliyo karibu na ww na utapewa chanjo kwa awamu tatu, ili kupata utajiandikisha kama mgonjwa wa kawaida utamuona daktari na kufanyiwa vipimo.
Gharama ya chanjo sidhani kama inapungua 60000
 
Naijua hiyo tiba yako ya kunywa mkojo wa Asubukhi
 
Mwezi wa tano niliumwa kiasi nilivoenda dispensary nikakutana na dactari akaniuliza uliza wee kisha akaniandikia nipime kama nna typhoid au Maralia, tena akaniuliza kama kuna kitu kingine nataka nipime nilimwambia nataka kupima H.I.V akaniangalia then akaandika kwenye daftari bila kuongea chochote, then akaniambia nenda kasubiri majibu, nilishangaa hata cancelling hakuna nikaanza kuwa na hofu, baadae majibu yalivokuwa tayari nikaitwa nikaambiwa status za magonjwa mengine nilisikiliza kwa makini lakini mawazo yangu yote hayakuwa katika magonjwa hayo.

Alipomaliza kunieleza kilichoonekana katika magonjwa hayo then akaja kwenye H.I.V, aisee jamaa nilishangaa ananiambia na hiki kipimo bila kutaja akanionyesha tu kwenye lile daftari akasenma hakina shida, akaishia hapo, then nikatoka ila nilikuwa na mawazo sana what if ningekuwa na shida afu huyu docta hata hakuandai kisaikolojia kupokea majibu.

Love is all what we need!
 
Si kuna wachungaji wanadai wanatibu magonjwa sugu... mbona mnasema ngoma noma tena wakati wachungaji wana dawa ya kuondoa hadi mapepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…