Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.

Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.

Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.

Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.

Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.

Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Wewe mkuu hilo tako ulilifanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unene ni kupenda, ukila vizuri na kufanya mazoezi hunenepi, ni kweli ARV's zinakwenda na pombe pia hata methadone kwa mateja, isingekuwa hivyo wengi wangeshindwa. Hata hivyo usiwe mlevi mpaka kusahau kunywa dawa zako pia si unajua madhara ya pombe kwenye ini na ARV's na figo sasa hapo akili mukichwa.
Upo vizuri bi shostee nakufuatiliaga sana kwenye hzi point za HIV inakaa unaelimu nayo tuelimishe wengi wajue kupata ngoma si mwisho wa maisha wale vizur, mazoez, na kufuata dozi watu wanaishi adi miaka 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nishapima ukimwi mara kibao na naendelea kupima na nitaendelea kupima.. ila hii kitu kupima si mchezo hata kama hujagegeda ila kiroho tu kinakuuma kipo juu juu.
Tushajengwa kiakili ukimwi unatisha,na zile picha za watu wamekondeana ndio zinatutia hofu
Mi hua mkojo unanitoka kidogo kwenye chupi,,sijawah zoea kupima ngoma,lakin nikipima maralia wala hata sina hofu
Na hofu inakuwa kubwa zaidi kwa kuwa hakuna dawa kwa hiyo akili inakuambia unaelekea kufa
 
Upo vizuri bi shostee nakufuatiliaga sana kwenye hzi point za HIV inakaa unaelimu nayo tuelimishe wengi wajue kupata ngoma si mwisho wa maisha wale vizur, mazoez, na kufuata dozi watu wanaishi adi miaka 60

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna hope kuwa dawa itakuja, kuna watu wanakesha kwenye labs kutafuta ufumbuzi, so si ajabu waathirika wasinywe dawa maisha yao yote ufumbuzi utakuwa umepatikana.
 
Tushajengwa kiakili ukimwi unatisha,na zile picha za watu wamekondeana ndio zinatutia hofu
Mi hua mkojo unanitoka kidogo kwenye chupi,,sijawah zoea kupima ngoma,lakin nikipima maralia wala hata sina hofu
Na hofu inakuwa kubwa zaidi kwa kuwa hakuna dawa kwa hiyo akili inakuambia unaelekea kufa
ña watu wanasahau ukimwi wa leo siyo ule wa zamani now days ukionyeshwa mtu anaetumia dozi ukaambiwa anao huwezi amini cha msingi naona bora kupima kujua afya kama unao unawahi dozi cd4 zisishuke tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi unachekesha aisee,,,, dada sky Eclat inakuwaje watu wameoana miaka hata mitano mmoja anakutwa kaathirika na mwingine hajaaathirika,huyu ambaae hajaathirika ana damu ipi hiyo,,maana usiniambie eti hawajahi kuchubuana

Na kuhusu homa ya ini chanjo inapatikanaje?watu tukapatae chanjo mapema Sky Eclat
 
Kwakweli ulizeni clinic, kuhusu HIV inawezekana kama nilivyokueleza ni mpaka wadudu wajiambatanishe na CD4 mwilini, kuna wachache ambao wanabahatika muunganiko huo hautokei, ni wachache sana.
 
Nakitaka pia. Sasa ni mwendo wa kupimana tu. Kupima kwanza then kwichikwichi
Dah kweli maana juzi kati nilipata mdada akakubi nililalie INI lake..sasa siku ya siku tukawa pamoja faragha ile tuna kwichiX2 dah kondom si ikapasuka aseeeee wwwwww nilitoa fasta nkaenda oga aseeeeeeee moyo ulidunda aseeeee mpaka shida.

Cha msingi ndo hicho.
 
Kabla hujafanya maamuzi ya kupima huwa kuna mlolongo wa shauri nasaha na huwa zinaendelea hata baada...

Hata hivyo unapoamua kwenda kupima HIV ni vyema kuandaa akili yako kama vile tu unavyoenda kupima ugonjwa mwingine wowote ule, kwamba kuna matokeo ya aina mbili pekee...
Vipi wale madakitari wanaoshtukiza hebu waache jamani haya mambo kama ulivyosema inatakiwa mtu ajiandae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli maana juzi kati nilipata mdada akakubi nililalie INI lake..sasa siku ya siku tukawa pamoja faragha ile tuna kwichiX2 dah kondom si ikapasuka aseeeee wwwwww nilitoa fasta nkaenda oga aseeeeeeee moyo ulidunda aseeeee mpaka shida.

Cha msingi ndo hicho.
Hee mkuu mbona una maisha magumu sana si uwe na mmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom