Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ndio madhaifu kabisa, nikisemwa tu nakuwa na mawazo mwezi mzima, je nikiambiwa na ukimwi nahisi ata cjui itakuwaje my.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliogopa kukupa majibu unaweza kufa kwa mshtuko.Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.
Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.
Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Hawa wataalamu wa afya kwel sijui wapoje mwenyewe nilienda clinic kufika yule mama jaman katoa kipimo anapima utasena malaria af anaweka mbele yangu nione kinavyoenda ye anaendelea na story niliwaza apa hivi presha ikipanda si ninazikwa kabisa aliniboa sana yule mamaSiku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kipimo gani cha haraka zaidi na ni muda gani kinaweza kugundua virusi
Tena wengi wananyoaga siku ya ahadi ya game ili waonekane smartKuna sababu mbalimbali hupelekea pia mtu kuambukizwa ngoma hata kama unatumia kinga..mfano mtu umetoka ku shave sirini af unaenda kurukia,hujui kua yale maj maj yakirukia kwenye pale umeshave na umejikata uwezekano wa kuambukizwa upo,.pia vidonda vya mdomo,mtu una vidonda lakin unaenda chumvin au unapiga mate ya hatar,unategemea nin,..mtu umejikata vidolen,bado unapima oil.
Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha.
Mkuu sijasema kwa ubaya nahisi umechukulia tofauti na mimi nilivyomaanishaHizi lugha ni moja ya chanzo cha watu kukataa kupima na hata wakikutwa + wakaja kusikia lugha kama hizi ndio mwanzo wa kufa moyo.
Tatizo sio kupima na wala tatizo sio huu ugonjwa , tatizo ni watu wanauchukuliaje huu ugonjwa!
Hahaa hawafai hawaunachoongea ni sahihi mkuu...kama miez miwili hvi nlkua muhimbili pale jakaya kikwete nachek afya..sasa nikawa nimeshafanyiwa vipimo vyote nlivyoambiwa na daktari ila nikaambiwa baada ya kutoka kwa daktari nipitie kwnye chumba kingine kipo kwnye kona flan hvi...Si nikafika pale nikakaribishwa vzuri kweli nikaelekezwa nikae kwnye kiti..
Asalaleee nashangaa naambiwa bwana humu umekuja tutakufanyia kipimo cha HIV, nikashangaa kwnza nikauliza tena kama kipomo hcho nimeandikiwa / vipi. madaktar wakanambia pale kua hii ni lazima ata ue hujaandikiwa..bas nikaanza kuulizwa maswal mengi pale uku mwngine ananichukua damu tayar kwa kunipima
yan in short skutakiwa kua na hoja nyingine yoyote zaid ya kukubali kupimwa, ila nsshkuru majibu yalikua fresh
Ila skuiz mtu unaeza kupimwa ukimwi hospitali bila ata kuambiwa, unashangaa tu umewekwa kati unafanyiwa kipimo kikubwa
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudinyana hakuepukiki mkuu,labda uhasiwe lakin kwa rijali hiyo ni ngumuSasa usipopima utajuaje hali yako kijana?
Pima uishi kwa amani, maana kama utakuwa negative itakufanya uwe makini na uache kabisa kudinyana dinyana kusiko na mpango...
Mkuu heshima yako.Sasa usipopima utajuaje hali yako kijana?
Pima uishi kwa amani, maana kama utakuwa negative itakufanya uwe makini na uache kabisa kudinyana dinyana kusiko na mpango...
Hahaa hii komesha kwa wasiotaka kupima kwa hiari nikiwemo mimi. Nakumbuka huo mwaka 2006 nilijitolea damu wakarudi baada ya miezi kama miwili kutuletea majibu baada ya vipimo vya damu tuliyojitolea...nakumbuka niliulizwa kama niko tayari kupokea majibu ya vipimo vyote...nikawa ndo nimepima hapo nimekuja kupima mwaka huu tena kwa lazimaKweli kabisa hata mimi nilienda kupima mwezi uliopita yaani unaandkiwa kama vile unapima ugonjwa mafya tu na majibu yanakuja unapewa kama vile taarifa ya mapato na matumizi.
Ila kipindi cha miaka ya 2006/2007 ilikuwa unapewa ushauri wa kutosha na unaulizwa kulingana na maelezo uliyopewa unahisi una asilimia ngapi za kuwa +ve au -ve . Kwa sababu unapewa na elimu jinsi VVU vinayoambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine.
Sasa hivi tena wanakutoboa tu kama kipimo cha malaria ndani dakika tano unapewa jibu so ukikutwa umeambikizwa na haukuwa tayari kupokea taarifa ya hivyo unaweza kuzimika kwa pressure.
Kwel mkuu,stress ya Ukimwi ni hatar kupita tunavyodhan,mfano hai ni huyo jamaaKuna wengine kila baada ya miezi mitatu wanapima HIV. Hawa nawaambia kile wanachokitafuta ipo siku watakipata ndani ya hiyo miezi mitatu mitatu
Hahaa daah yaani wangejua hali anayokuwa nayo basi tunilienda sinza palestina..daktari akaniandikia vipimo viwili...kimoja cha maralia kingine ukimwi vyote navijua ila yeye akadhani mi sijui...nimeenda kuchukua majibu ananiambia maralia huna...nikamuuliza na ukimwi je si umeniandikia nipimwe akasema(huku akipepesa macho)..huna ukimwi...sijui kwanini hawasemagi aisee...najaribu kuvuta picha ningekutwa nao..