Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Maisha ya kuishi kwa masharti nani anayaweza mkuu? Wengine tunapenda uhuru sana, dawa ya ukimwi ni kuupotezea tu wala sio hayo ma ARV's yenu, hata ukienda kupima ukakutwa unao kula vizuri, Fanya Mazoezi, kunywa maji ya kutosha Lakin achana na madawa yao
 
Mkuu wewe Ndio umetema points achana na hao wa ma ARV's
 
Mkuu huyo jamaa yako inshort alishindwa kukubaliana na matokeo aliyokutana nayo baada ya vipimo btw we are not safe in this unsafe world untill we are not here anymore

Mi nilipima july nakubainika nina VVU kiukweli iliniumiza sana for like two weeks and i was like getting confused lakini mwisho wa siku niliishinda nafsi na kujiona sijabadilika kitu and i still have chance to complete my goals

Hata hivyo hakuna jambo jema na zuri kama kujua status ya afya yako maana utapata ushauri mzuri wa kitabibu wa namna ya kudeal nayo , mi nahisi watu wengi ni waathirika na kwa kuwa tuna kasumba ya woga wa kujua afya zetu tunajiona tu wazima na mwisho wa siku tunapelekea maambukizi kwa wengine zaidi na zaidi

na ndyo maana unaona baada ya hii straregy ya wagonjwa wengi kama si wote waendao kwenye goverment hospital kupimwa vvu kumekuwa na ongezeko kiasi la watu wenye vvu siyo kama mwanzo mpaka mtu azidiwe ndyo apimwe

PIMA UJUE AFYA YAKO VVU SIYO UGONJWA HATARI KAMA UNAVYOCHUKULIWA NA JAMII KAMA UKIZINGATIA KUNYWA DAWA NA MASHARTI YA MADAKTARI

NB; Sijawahi mwambia ndugu yangu yoyote tangu nijifahamu hivi , napambana na hali yangu mwenyewe

Also kuna information nilipata from ctc insider he told me kwamba dawa za kutibu kabisa zishapatikana nd zitaanzaa kugawiwa TZ 2022 but aint really sure about this kama kuna mwenye maelezo ya hili kwa kina tafadhali atujuze cc Sky Eclat
 
Hongera sana mkuu kwa ujasiri na kukubaliana na hali yako

Hii pia itasaidia kuwapa moyo wengine waliokuwa na woga na kukata tamaa
 
Hongera sana mkuu kwa ujasiri na kukubaliana na hali yako

Hii pia itasaidia kuwapa moyo wengine waliokuwa na woga na kukata tamaa
Huyu amepata matumaini ya dawa mkuu. Ndio maana hana wasix2.
Lakini pia, watu tunatofautiana kuhimili maisha baada ya kupima +ve vvu. Kuna namna tunayumba na kubadili lifestyle. VVU ni mpango mmbaya sana wa mashetani weupe, kutumaliza. Kuukwepa hayitaji baraka za M/Mungu na si vingine.

No Pain, No Gain
 
Mkuu kuna mtu kaniambia hicho kipimo ni fake?

Yaani hakitoi taarifa kamili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna mtu kaniambia hicho kipimo ni fake?

Yaani hakitoi taarifa kamili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekudanganya SD Bioline hiki ni miongoni mwa vipimo accurate and efficient kuwahi kutumika kina uwezo wa kudetect maambukizi ndani ya siku 28 baada ya virusi kuingia mwilini kwa asilimia 96%. Tofauti na vipimo vya hapo awali ambavyo vinaweza kudetect HIV baada ya siku 90 kwa asilimia 95%.

Hopefully umenielewa! Ignore excuse za jamaa nenda hospital kacheki afya mater of fact almost hospitali zote za umma na binafsi zina vipimo hivi hivi kwa sasa.

"Ni hatari kupima ukimwi, ila ni hatari zaidi kutopima ukimwi "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah asante mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…